Kabisa mkuu tatizo ni uelewa katika jamii na pre conceived information.Serikali itumie media kikamilifu.Serikali itumie media na wataalamu wa afya ili kuelimisha zaidi kuhusu chanjo. Hawa wanaopinga chanjo wanatumia media kurubuni watu.
Tatizo suala limeshikwa na wanasiasa zaidi kuliko wataalamu. Acha wapambane nalo.Kabisa mkuu tatizo ni uelewa katika jamii na pre conceived information.Serikali itumie media kikamilifu.
Watuelimishe nini sisi tunajua chanjo ya korona ni ya majaribio hakuna neno jipyaSerikali itumie media na wataalamu wa afya ili kuelimisha zaidi kuhusu chanjo. Hawa wanaopinga chanjo wanatumia media kurubuni watu.
Wewe unajua au SISI TUNAJUA?Watuelimishe nini sisi tunajua chanjo ya korona ni ya majaribio hakuna neno jipya
Wasomi wote wanajua ila ni unafiki tuWewe unajua au SISI TUNAJUA?
Kauli yako ya SISI TUNAJUA ndiyo nataka unipe ufafanuzi wewe na nani mnajua? Unatembea na miili ya wenzako hapo ulipo au una mwili wako mwenyewe?Wasomi wote wanajua ila ni unafiki tu
Kwani ukwenda shule sisi aimanishi na wewe kama wewe ujui shauri yakoKauli yako ya SISI TUNAJUA ndiyo nataka unipe ufafanuzi wewe na nani mnajua? Unatembea na miili ya wenzako hapo ulipo au una mwili wako mwenyewe?
Sisi ni wingi, mimi ni umoja.Kwani ukwenda shule sisi aimanishi na wewe kama wewe ujui shauri yako
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania kuwasikiliza Wataalamu katika suala la Chanjo ya COVID19. Asema ni muhimu kuchanja kwasababu inasaidia kupunguza makali ya Ugonjwa.
Ameeleza, "Hii sio Chanjo ya kwanza, tumechanja Magonjwa mengine. Nawasihi achaneni na wapotoshaji. Watu wanafikiria kila kinachotoka huko ni kibaya"
Ameongeza, toka Ugonjwa ulipoingia Viongozi wa Kitaifa akiwemo Rais Samia walisema watajiridhisha na Wataalamu wameridhia aina za Chanjo zilizochaguliwa ni salama.
Msikilize:
View attachment 1908883
Waziri mkuu muongo muongo hafai