Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu awasili Roma, Italia

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
π—ͺπ—”π—­π—œπ—₯π—œ π— π—žπ—¨π—¨ π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨ 𝗔π—ͺπ—”π—¦π—œπ—Ÿπ—œ π—₯𝗒𝗠𝗔, π—œπ—§π—”π—Ÿπ—œπ—”

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Roma, Italia, leo, Septemba 20, 2026, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Kimataifa wa Afya Moja na Mifumo ya Chakula na Kilimo (One Health), utakaofanyika Septemba 21–23, 2026, katika Makao Makuu ya FAO.

Akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Leonardo da Vinci (Fiumicino), Waziri Mkuu amepokelewa na Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo; Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Ngwaru Maghembe; na Balozi wa Tanzania nchini Italia, Mhe. Mbarouk Nassor Mbarouk.
 
Attachments

  • IMG-20260920-WA0041.jpg
    IMG-20260920-WA0041.jpg
    257.3 KB · Views: 13
  • IMG-20260920-WA0055.jpg
    IMG-20260920-WA0055.jpg
    351.8 KB · Views: 11
  • IMG-20260920-WA0046.jpg
    IMG-20260920-WA0046.jpg
    290.4 KB · Views: 11
  • IMG-20260920-WA0045.jpg
    IMG-20260920-WA0045.jpg
    317.3 KB · Views: 8
  • IMG-20260920-WA0054.jpg
    IMG-20260920-WA0054.jpg
    424.1 KB · Views: 12
  • IMG-20260920-WA0052.jpg
    IMG-20260920-WA0052.jpg
    358.6 KB · Views: 12
  • IMG-20260920-WA0047.jpg
    IMG-20260920-WA0047.jpg
    332.4 KB · Views: 15
  • IMG-20260920-WA0051.jpg
    IMG-20260920-WA0051.jpg
    317.9 KB · Views: 9
  • VID-20260920-WA0083.mp4
    13.5 MB
π—ͺπ—”π—­π—œπ—₯π—œ π— π—žπ—¨π—¨ π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨ 𝗔π—ͺπ—”π—¦π—œπ—Ÿπ—œ π—₯𝗒𝗠𝗔, π—œπ—§π—”π—Ÿπ—œπ—”

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Roma, Italia, leo, Septemba 20, 2026, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Kimataifa wa Afya Moja na Mifumo ya Chakula na Kilimo (One Health), utakaofanyika Septemba 21–23, 2026, katika Makao Makuu ya FAO.

Akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Leonardo da Vinci (Fiumicino), Waziri Mkuu amepokelewa na Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo; Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Ngwaru Maghembe; na Balozi wa Tanzania nchini Italia, Mhe. Mbarouk Nassor Mbarouk.
Thanks to God.

well done Dr Mwigulu Nchemba & your team πŸ’ͺ
 
Peleka hii kwenye group la CCM. Nonsense.
Unatuletea takataka hizo sasa tufanyeje
 
roma iambiwe na majasusi wa kanisa utawala wa samia unataka kumnyonga lissu.
 
π—ͺπ—”π—­π—œπ—₯π—œ π— π—žπ—¨π—¨ π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨ 𝗔π—ͺπ—”π—¦π—œπ—Ÿπ—œ π—₯𝗒𝗠𝗔, π—œπ—§π—”π—Ÿπ—œπ—”

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Roma, Italia, leo, Septemba 20, 2026, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Kimataifa wa Afya Moja na Mifumo ya Chakula na Kilimo (One Health), utakaofanyika Septemba 21–23, 2026, katika Makao Makuu ya FAO.

Akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Leonardo da Vinci (Fiumicino), Waziri Mkuu amepokelewa na Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo; Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Ngwaru Maghembe; na Balozi wa Tanzania nchini Italia, Mhe. Mbarouk Nassor Mbarouk.
1789944048306.png

Mwigulu Lameck Nchemba, leo (Jumamosi, Septemba 19, 2026) ameondoka kwenda Roma, Italia kumwakilisha Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa siku tatu wa Kimataifa wa Kujadili Afya Moja na Mifumo ya Chakula na Kilimo.

Mkutano huo utakaofanyika katika Makao Makuu ya Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), jijini Roma, Italia kuanzia Septemba 21–23, 2026 unalenga kuimarisha utekelezaji wa dhana ya Afya Moja (One Health) inayotambua uhusiano kati ya afya ya binadamu, wanyama, mimea na mazingira, kwa lengo la kuhakikisha mifumo endelevu ya chakula na kilimo

Mkutano huo utahusisha viongozi wa nchi na Serikali, wakiwemo Marais kati ya watano hadi saba, Mawaziri kati ya 30 hadi 50, pamoja na wawakilishi wa taasisi za kikanda na kimataifa, wadau wa maendeleo, sekta binafsi, taasisi za utafiti na mashirika ya kimataifa.

Mambo muhimu yatakayojadiliwa katika mkutano huo ni Ujumuishaji wa dhana ya Afya Moja (One Health) katika sera na uwekezaji wa mifumo ya chakula na kilimo; na uimarishaji wa ushirikiano wa kisekta kati ya sekta za kilimo, mazingira, afya, fedha na mipango ya miji.

Mengine ni ukuzaji wa ubunifu, sayansi na maarifa ya ndani ili kuboresha uzuiaji wa vihatarishi, ufuatiliaji na usimamizi endelevu wa rasilimali na kuhamasisha uwekezaji na ushirikiano ili kutafsiri ahadi kuwa hatua madhubuti zenye matokeo yanayopimika.
 
View attachment 3674731

One Health in agrifood systems is everyone’s health, everyone’s responsibility and everyone’s action​

20 September 2026

FAO headquarters, Rome (Italy) | 21-23 September 2026​

The FAO Global Conference will bring together global leaders, technical experts, partners and stakeholders to accelerate the practical application of One Health across agrifood systems.​

One Health is an integrated, unifying approach that aims to sustainably balance and optimize the health of people, animals, plants and ecosystems.

Agrifood systems are complex socio-ecological systems shaped by interactions among plants, animals, microorganisms, people and the environments they share. From a One Health perspective, the health of soils, water, ecosystems, plants, animals and humans is deeply interconnected. These interconnected domains ultimately influence food safety, nutrition and the resilience of agrifood systems.

As climate change, biodiversity loss, emerging diseases, antimicrobial resistance, food safety risks and environmental degradation increasingly threaten food security and livelihoods, the conference will position One Health as a unifying, systems-based approach to strengthen resilience and prevent crises before they emerge.

Key themes​

  • Integrating One Health into agrifood policies and investments.
  • Strengthening multisectoral collaboration across agriculture, environment, health, finance and urban sectors.
  • Promoting innovation, science and local knowledge to improve risk prevention, surveillance and sustainable resource management.
  • Mobilizing investment and partnerships to translate commitments into measurable action.

Major outcomes​

  • A shared global vision and priority actions for implementing the One Health in agrifood systems framework.
  • Identification of investment opportunities to support country-level implementation.
  • Launch of the One Health knowledge and intelligence hub.
The conference will serve as a catalyst for coordinated, inclusive and action-oriented efforts to build healthier people, animals, plants, ecosystems, and more resilient agrifood systems for all.

View: https://m.youtube.com/watch?v=hRhkiZu85Y0

Healthy agrifood systems depend on the health of people, animals, plants and ecosystems. As challenges such as climate change, biodiversity loss, emerging and re-emerging diseases, antimicrobial resistance, food safety risks and environmental degradation become increasingly interconnected, coordinated action across sectors is more important than ever.

One Health provides an integrated, unifying approach to sustainably balance and optimize the health of people, animals, plants and ecosystems, while strengthening the resilience of agrifood systems and helping prevent risks before they become crises.

Held at FAO headquarters in Rome from 21 to 23 September 2026, the FAO Global Conference for Actions on One Health in Agrifood Systems will convene global leaders, technical experts, partners and stakeholders to accelerate the practical application of One Health across agrifood systems.

The conference will serve as a catalyst for coordinated, inclusive and action-oriented efforts to build healthier people, animals, plants, ecosystems, and more resilient agrifood systems for all. One Health in agrifood systems is everyone’s health, everyone’s responsibility and everyone’s action.
 
One Health is an integrated, unifying approach that aims to sustainably balance and optimize the health of people, animals, plants and ecosystems.

Agrifood systems are complex socio-ecological systems shaped by interactions among plants, animals, microorganisms, people and the environments they share. From a One Health perspective, the health of soils, water, ecosystems, plants, animals and humans is deeply interconnected. These interconnected domains ultimately influence food safety, nutrition and th

TOKA MAKTABA
18 September 2026

Utafiti wa Mwanasayansi wa Tanzania - Viatilifu Bonde la Usangu na Athari Kwa Mazingira Pia Viumbe Hai

View: https://m.youtube.com/watch?v=dQTZg-4BqRc

Utafiti : Bonde la Usangu : Majaruba ya mpunga yenye mbolea Calcium Amonium Nitrate, Triple 3 Super Phosphate, Urea n.k na viatilifu bonde la Usangu na athari kwa mazingira pia viumbe hai

Usangu agro-ecosystem-Tanzania. Marco Mng'ONg'O. Linus K. Munishi. Patrick A. Ndakidemi. ...

Keywords: Arsenic; Health risk; Irrigation scheme; Paddy farming; Pollution risk; Usangu basin.

Ndakidemi, Patrick. Subject Category: Plant genetics and breeding, Plant physiology … agricultural soil to plants in Usangu agroecosystem-Tanzania
1789945829760.png
 
Watanzania mlioko huko nendeni na mabango mkamzomee huyo fala muuaji.

Hawa wauaji tunapaswa kuwazomea na kuwatukana popote pale waonyeshapo sura zao.

Mimi siku nikija kukutana na mmoja wao huku nitamtukana na kumtemea makohozi.
 
View attachment 3674731
Mwigulu Lameck Nchemba, leo (Jumamosi, Septemba 19, 2026) ameondoka kwenda Roma, Italia kumwakilisha Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa siku tatu wa Kimataifa wa Kujadili Afya Moja na Mifumo ya Chakula na Kilimo.

Mkutano huo utakaofanyika katika Makao Makuu ya Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), jijini Roma, Italia kuanzia Septemba 21–23, 2026 unalenga kuimarisha utekelezaji wa dhana ya Afya Moja (One Health) inayotambua uhusiano kati ya afya ya binadamu, wanyama, mimea na mazingira, kwa lengo la kuhakikisha mifumo endelevu ya chakula na kilimo

Mkutano huo utahusisha viongozi wa nchi na Serikali, wakiwemo Marais kati ya watano hadi saba, Mawaziri kati ya 30 hadi 50, pamoja na wawakilishi wa taasisi za kikanda na kimataifa, wadau wa maendeleo, sekta binafsi, taasisi za utafiti na mashirika ya kimataifa.

Mambo muhimu yatakayojadiliwa katika mkutano huo ni Ujumuishaji wa dhana ya Afya Moja (One Health) katika sera na uwekezaji wa mifumo ya chakula na kilimo; na uimarishaji wa ushirikiano wa kisekta kati ya sekta za kilimo, mazingira, afya, fedha na mipango ya miji.

Mengine ni ukuzaji wa ubunifu, sayansi na maarifa ya ndani ili kuboresha uzuiaji wa vihatarishi, ufuatiliaji na usimamizi endelevu wa rasilimali na kuhamasisha uwekezaji na ushirikiano ili kutafsiri ahadi kuwa hatua madhubuti zenye matokeo yanayopimika.
Wanaponda tu hela za mlipa kodi!
Bila huruma walahi!
 
Mazingira mbona ni ya bongo kabisa!!?

Roma italia hakuna hata waroma na hawaonekani!!?

Mbona kama ni kiomboi singida hapo!!?
 
Back
Top Bottom