Waziri Mkuu Dkt. Nchemba akutana na viongozi wa benki ya CRDB

Waziri Mkuu Dkt. Nchemba akutana na viongozi wa benki ya CRDB

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
WAZIRI MKUU AKUTANA NA VIONGOZI WA BENKI YA CRDB

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Julai 20, 2026 amekutana na viongozi wa Benki ya CRDB katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Oysterbay, jijini Dar es Salaam.

Katika mazungumzo hayo, wamejadili masuala mbalimbali yenye lengo la kuendelea kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na Benki hiyo katika kuchochea ukuaji wa uchumi na maendeleo ya Taifa.

IMG-20260720-WA0058.jpg
IMG-20260720-WA0066.jpg
 
Abadili na tai jamaa hana swaga kabisa yaani tai Moja daily
 
Back
Top Bottom