Waziri Mkuu hana mamlaka juu ya shughuli za Ofisi ya DPP

Haya ni masalia ya magufuli, usishangae sana.
 
Akili zenu nyumbu mnazijua wenyewe tu! Kushangaa sio lazima useme unashangaa. Hata ninyi nyumbu mnapoingia kwenye streets za Twitter Republic na mabango yenu mkidai Rais anavunja Katiba, mnakuwa mmeshangaa bila kusema mnashangaa, kwasababu mnachokipinga kinakuwa kinakinzana na legislated norm. Vinginevyo, msitupotezee muda wetu na kelele zenu zisizo na kichwa wala miguu!
 
Sio kweli haiwezekani eti waziri mkuu hana uwezo kumuelekeza dpp. Dpp sio mahakama ila ni mtumishi upande wa executive branch.
 
Mimi napita sheria maana ndiyo mwongozo na siyo vitabu vya siasa.

Unachokisema wewe ni sawa na kusema Gavana wa BOT boss wake ni katibu mkuu wa wizara ya fedha.
Yap na ndivyo ilivyo, govoner anayo autonomy ya kufanya sehemu ya kazi yake bila ya kuingiliwa (mostly technical side).

Lakini katibu mkuu wa wizara can call an audit anytime ya hiyo taasisi.

Same thing katibu wizara ya sheria anaweza ifanyia taasisi ya DPP performance appraisal anytime including mwendesha mashtaka mwenyewe ata kama hana mamlaka ya kumfukuza.

Seuse waziri mkuu kumuamuru DPP achukue hatua za kisheria.
 
Tofautisha administrative reporting lines ambazo zipo for coordination and accountability purposes only na zile zinazohusisha authority to direct someone’s work. Kwa mfano, unaporipoti administratively kwa mtu fulani, huyo mtu hana uwezo wa kurudisha report yako na maelekezo ya kuifanyia mabadiliko yoyote. Report uliyompa (na underlying work) ni final unless wewe mwenyewe umeamua kuifanyia mabadiliko.

Kwahiyo, kikatiba, hakuna mtu mwenye mamlaka ya kumuambia DPP amfikishe (au asimfikishe) nani mahakamani lini.
 
Sasa si afadhali PM hata kama anavunja sheria ya DPP kuliko mama Kibyengo kutwa kiguu na njia?

Alivunja uongozi wa soko la Kariakoo, hadi leo hakuna jipya. hatimaye soko limeungua
Chuki itakuua mbw,a koko wewe
 
Sio kweli haiwezekani eti waziri mkuu hana uwezo kumuelekeza dpp. Dpp sio mahakama ila ni mtumishi upande wa executive branch.

Tofautisha administrative reporting lines ambazo zipo for coordination and accountability purposes only na zile zinazohusisha authority to direct someone’s work. Kwa mfano, unaporipoti administratively kwa mtu fulani, huyo mtu hana uwezo wa kurudisha report yako na maelekezo ya kuifanyia mabadiliko yoyote. Report uliyompa (na underlying work) ni final unless wewe mwenyewe umeamua kuifanyia mabadiliko.

Kwahiyo, kikatiba, hakuna mtu mwenye mamlaka ya kumuambia DPP amfikishe (au asimfikishe) nani mahakamani lini.
 
unashangaa PM kutoa maelekezo hayo mkuu unaishi Tz kweli?? matamko kama hayo huwa yanatolewa hadi na mwenyekiti wa uvccm hii nchi inefika pabaya ndio mana tunataka katiba mpya

Kudai Katiba Mpya ni kushangaa bila kusema unashangaa!
 
Mnaofuatilia yanayoendelea Afghanistan mtakuwa mmeona wananchi wakiandamana bila kubugudhiwa kabisa.
Ndo kwanza Taliban inachukua nchi, Talban ambao tulitegemea wasingeweza kuvumilia kitu kama hicho. Nini hii Tz ???? maandamano yanaonekana ni uahlifu usiovumilika! Tukisema ni ushamba mnakuja kusema tumetukana.
Wahusika mjifunze kutoka kwa wanamgambo wa Taliban.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Umeyaelewa maagizo yake?
 
Siyo kweli, acha kudanganya.nenda kasome katiba.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
That’s just common sense DPP ana kesi luluki, uwezi kumpa time frame ya kuchunguza kitu awe amekamilisha kazi.

But then provided there is criminal evidence waziri mkuu anao uwezo wa kumuamuru DPP achunguze.

Anyway in usual procedure ofisi ya DPP kama mwendesha mashtaka jukumu lao ni kupokea majarida na kushitaki. Kazi ya kuchunguza kama kuna kesi ni polisi au TAKUKURU wao ndio wanatakiwa kukusanya ushahidi wote na kupeleka ofisi ya DPP wakishajiridhisha kuna kesi.

Hila sisi tuna utaratibu wetu wa kufanya mambo, eitherway point yangu ni kuwa waziri mkuu ni mkubwa kwa DPP na anaweza kumuamuru.
 
Siyo kweli, acha kudanganya.nenda kasome katiba.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Tumeshatoka huko kama umepitia mada yote. Unless uje useme katiba inasemaje tofauti.

Kama nilivyosema serikali ni ‘raisi na baraza lake la mawaziri’ pekee; hakuna civil servant anaewazidi hao watu rank.

Waliobaki wote ni administrators wa serikali yaani kuanzia makatibu wakuu na chain yote iliyo chini yake.
 
Issue sio nani ni mkubwa, administratively!

DPP ndiye mwenye prosecutorial discretion. He and only he can decide whether or not the evidence against the criminal defendant is sufficient to go forward with the prosecution!
 
Well you can’t argue with that, but if the boss gives orders he has to obey them first; and then do the due dilligence later.
 
Well you can’t argue with that, but if the boss gives orders he has to obey them first; and then do the due dilligence later.

A boss who understands the nature and extent of his or her authority won’t give such lousy orders!
 
Kwa sababu aliekuwa boss wa waziri mkuu; alikuwa ndio mtu anaemlinda makonda pia.

Kama nilivyoandika ni raisi tu ndio anaweza vunja amri ya waziri mkuu; na Makonda alikuwa akiringa sababu ya special relation yake na raisi.
"special relation na rais"!!!
Ipi hiyo!??
 
A boss who understands the nature and extent of his or her authority won’t give such lousy orders!
Precisely but this is a country whose president can demand at whim a commercial plane to charter her trip. In the midst disrupting the organisation paying customers flight schedule; just because the government owns the business.

So were the P.M orders legit? Yes

Were they sensible? No based on your side of the story (but then personally I need to watch his side to see under what circumstances he issued those orders).
 
CCM ni laana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…