Waziri Mkuu hana mamlaka juu ya shughuli za Ofisi ya DPP

Mimi huwa napigana vita kupinga wanasiasa kuvunja katiba wakati wewe huwa unashangaa mdomo wazi kama ulivyokiri hapa wewe mwenyewe.

Mimi huwa napambana kulazimisha wanasiasa kufahamu na kuheshimu mipaka ya authorities zao wakati wewe huwa unawaomba wafahamu mipaka ya authorities zao kama ulivyofanya kwenye huu uzi wako.

Mimi huwa napambana kupinga wanasiasa kutoa maagizo yanayokinzana na katiba wakati wewe huwa unashangaa kama ulivyokiri kwenye huu uzi wako.

Nafikiri mpaka sasa utakuwa umeelewa ni nani nyumbu wa kuchonga na ni nani nyumba wa ukweli anaeishi kati yetu.
 

Kujiita mpambanaji hakukufanyi kuwa mpambanaji.

You’re just a keyboard warrior like any other nyumbu!
 
Jitu linahangaika na kupaka picle kichwani kila siku tangu lini likawa na akili , walizoea matamko kuwa ndio sheria , ndiomaana yule mstaafu mtarajiwa wa polisi kakataa kumkamata gwajifix kienyeji maana anajua akistaafu tu lazima awe anashinda kwenye makanisa akiomba upako kwa madhambi yake aliyofanya, ICC inawasubiri wengi sana akiwemo huyo Diblo Dibala
 
Sasa si afadhali PM hata kama anavunja sheria ya DPP kuliko mama Kibyengo kutwa kiguu na njia?

Alivunja uongozi wa soko la Kariakoo, hadi leo hakuna jipya. hatimaye soko limeungua
Watanzania Mungu anawaona [emoji1787]
 
Umejikanganya
 
Hilo linawezekana kwa TZ, tu, na ni kutokana na ubovu wa katiba iliyopo!!waziri mkuu/rais hawezi, kumpa maagizo CAG, DPP, wala JUDGE, hata kenya tu walishavuka hatua hiyo.Eti kuna mihimili mitatu ya serikali!!!
 
Mimi bado sijaanza kukutukana. Matumizi ya indecent language ndiyo mtaji ulioanza nao. Au una memory loss problem?
Hakuna indecent language niliyotumia.Ulitaka akili ndogo niite kuwa ni akili kubwa?

Ulitaka tendo la woga wa kuogopa kukemea uvunjifu wa katiba na badala yake ukashangaa niliite kuwa ni tendo la kishujaa?

Ulitaka tendo la kuwaomba viongozi wetu wafahamu mipaka ya mamlaka zao niliite ni tendo la kiungwana wakati hayo yapo kwa mujibu wa sheria na ni wajibu wa viongozi kufanya hivyo?
 
Kama ni Temeke hakusema hivyo. Ni uandishi mwa mwendo kasi
 
Katika mambo ya serikali hizo ofisi zinahusika? Kama ndio, waziri mkuu ndio msimamimizi wa shughuli zote za serikali.
Hazihusiki,mahakama na bunge ni mihimili inayojitegemea.
Haipaswi kufuata amri ya kiongozi wowote wa kutoka serikali kuu.
 
Acha upuuzi wa kuwadharau watu usiowajua wewe tambala la deki,huu Uzi unashida gani?? Mbona hii platform imejaa matahira wengi Sana?! Kuna haja gani ya kuchangia kila thread tena kwa kuwadharau wenzenu??
Huyo jamaa ni mburula,hajui na hajui kama hajui.
Mtoa mada ameelezea kwa mujibu wa sheria na katiba halafu yeye anaongelea habari ya mazoea.
 
Sasa mkuu umesahau kuwa Judiciary na Parliament ni mihimili inayojitegemea na haitakiwi kuingiliwa na hao watu wa Executive government.
Na DPP yeye yuko upande wa Judiciary kama sikosei
 
Hapana, anayo mamla ya kuwaagiza kutekeleza wajibu wao, ila ni kweli yeye hata Rais hawana madaraka ya kumwambia DPP au TAKUKURU ni kesi gani za kushitaki na zipi za kufutwa. Mama aliposema kuwa mkiona hakuna ushahidi wa kutosha msipeleke kesi hizo mahakanai alikuwa anatekeleza wajibu wake, lakini hana mamlaka ya kusema futeni kesi ya Seth au ya Rugemalila.

Ni vivyo hivyo waziri mkuu ana mamlaka ya kusema vyombo vyote vya serikali kama Polisi, DPP na Takukukuru kamilisheni kesi hizi haraka kwa maana zote mbili: kama watuhumiwa wana hatia basi sheria ichukue mkondo wake na kama hawana hatia basi waachiwe huru wasiendelee kubughudhiwa!
 
Na ndio maana nikakwambia pitia kwanza vitabu vya siasa.

Kwanini nimekwambia ivyo bado swala la serikali ni nini linakupiga chenga.

Sasa wewe unataka tuzungumze calculus, wakati hesabu za geometry bado.

Anyway jioni njema.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Calculus Vs Geometry
 
Hilo linawezekana kwa TZ, tu, na ni kutokana na ubovu wa katiba iliyopo!!waziri mkuu/rais hawezi, kumpa maagizo CAG, DPP, wala JUDGE, hata kenya tu walishavuka hatua hiyo.Eti kuna mihimili mitatu ya serikali!!!
Sasa mkuu umesahau kuwa Judiciary na Parliament ni mihimili inayojitegemea na haitakiwi kuingiliwa na hao watu wa Executive government.
Na DPP yeye yuko upande wa Judiciary kama sikosei

You do know wizara ya sheria na wizara ya mambo ndani ni departments ambazo zipo pande mbili government/judiciary.

Mfano polisi ndio ndio taasisi ya kuzuia uhalifu, inayokamata na kukusanya ushahidi, magereza inaweka wafungwa (hizi ni taasisi zilizopo mambo ya ndani).

Alikadhalika DPP anashitaki, wafungwa usimamizi wao wa probation, appeals na mambo mengine yanasimamiwa na wizara ya sheria ndio maana ulikuwa unamuona marehemu Mahiga anapita magerezani kuangalia ‘mahabusu’ waliokaa muda mrefu na kesi zingine za ovyo ovyo anapeleka mahakamani wanafuta.

So dhana ya kusema judiciary independence ni kwenye kutafsiri sheria, taratibu za mahakama, and sentencing. Hayo mambo hayatakiwi kuingiliwa ivyo ndio wanavyomaanisha wakisema judicial independence.

Lakini hizo departments za wizara zipo chini ya waziri na katibu mkuu. Sasa kinachotokea kwakuwa baadhi ya taasisi ambazo zipo chini ya wizara kama ofisi ya DPP inatakiwa isiwe na influence ya mwanasiasa ndio maana wanazitungia sheria za uendeshwaji wake ambazo zinampa semi-autonomy mkurugenzi kufanya mambo ya kitaalamu bila political influence.

Lakini aina maana ya kwamba eti huyo mtu anakuwa zaidi ya wale waliopo juu kwenye ministry hierarchy structure.

Listen kuelewa rationale ya sheria za nchi (particularly administration laws), katiba na ufanyaji kazi wa taasisi mbali mbali za serikali. Inahitaji kwanza kuelewa foundation zake and to do that requires first understanding what politics is all about and how it works.

Ndio maana you can’t be a good constitutional lawyer kama ujasoma siasa katika nchi za wenzetu, similarly you can’t be a good tax lawyer if you were not an accountant in your past life.
 
Asante mkuu kwa ufafanuzi wako
 

I have been here long enough to be familiar with the outlandish lines of thought and reasoning of a typical nyumbu.

You don’t become more intelligent than another person by just saying you’re more intelligent than that person. As a matter of fact, people who are exceptionally intelligent aren’t reckless in their choices of words. They choose their words wisely and don’t wantonly insult and belittle people that they don’t even know.

To a typical nyumbu, an act of heroism means bullying anyone who holds views that are antithetical to his or hers, talking tough and making empty threats to government officials, all while hiding behind a keyboard. (S)he is a decorated keyboard warrior, so to speak!
 
Hawasomi katiba nafasi hawana.
 
talking tough and making empty threats to government officials, all while hiding behind a keyboard. (S)he is a decorated keyboard warrior, so to speak!
Yaani haki ya kikatiba ya raia ya kuquestion utendaji pamoja na mienendo ya Serikali unaiita ni threats against government?WTF!!Kwani kuna mtu ametishia kuipindua serikali au kuua viongozi wa serikali au kuipiga serikali mabomu?

Akili za wapi hizi?Kuonyesha ujinga hadharini siku hizi imekuwa ni fashion?Kama unajijua kuwa huna kitu kichwani si ukae kimya kuficha ujinga wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…