Waziri Mkuu huwa Kikatiba Rais ikiwa Makamu wa Rais na Rais hawapi nchini

Waziri Mkuu huwa Kikatiba Rais ikiwa Makamu wa Rais na Rais hawapi nchini

Najua aliye rithi uraia yupo Maputo, Makamu wake yupo nje ya Africa amepeleka umbea wake yakuwa samaki wa ziwa Victoria wanaoshwa na maji ya mahitii

Sasa anashikia Ikulu ni Kassimu Majaliwa na ndio maana na Tozo ameziondoa Jana mbona TBC mnalipoti KUWA ni Waziri mkuu
Poor! Mahiti ndio kitu gani
 
Upo sahihi kusema nchi ipo chini ya waziri mkuu lakini hatuwezi kuita rais kwasababu hajala kiapo au hajaapishwa kuwa rais wa JMT hivyo atabaki na cheo chake cha uwaziri mkuu japo Ata act kazi zote Zilizokuwa zifanywe na na rais au makamu wa rais ambao wote hawapo kwa sasa nchini
Kwan wasipinduliwe wabaki uko uko waliko uamishoni HV jwtz hakuna manyamera na ss tuwwe ktk recod za kidunia kuwa ukiwachezea wananchi wa tz unapinduliwa madarakani faster nataman niamke kesho nisikie inchi iko chini ya meja genearali mbogo ..[emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Washauri wa Maza wanapotosha..... Hizo safari wanazompa kila mwezi hazina mashiko. Hata kwa Queen haukuwa lazima. Halafu anatoka huko anafikia Mozambique. Kulikuwa na haraka gani? Hata kama ilipsngwa mapema ingeweza kusogezwa mbele. Something is not right.
Yule jamaa wa msumbuji Ni mmakonde halisi Ni konde boy so Kuna Jambo[emoji39][emoji39]

Kajal na konde boy

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mm naonaga nnchi inaibiwasana hakuna wa kuuzuia wizi jmn jwtz hakuna mabandidu huko ili tuwaaoneshe watawala kuwa mpo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom