Kuna mzazi amejaribu kupiga simu katika chuo cha VETA Mbeya ili apate utaratibu wa kumpeleka mwanae mwaka 2024 lakini ameambulia patupu.
Namba zote za mawasiliano walizoziweka mtandaoni hazipatikani, leo ni wiki la pili sasa.
Aliposhindwa kupata mawasiliano kutoka VETA Mbeya, akatafuta Namba za VETA Makao Makuu. Hata Makao Makuu hakuna kitu kabisa. Kila akipiga simu haipatikani kabisa.
Naomba mh. Waziri Mkuu ingilia kati suala hili. Watu wanapata shida sana.