Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,292
- 2,953
Pole sana mkuuKuna mzazi amejaribu kupiga simu katika chuo cha VETA Mbeya ili apate utaratibu wa kumpeleka mwanae mwaka 2024 lakini ameambulia patupu.
Namba zote za mawasiliano walizoziweka mtandaoni hazipatikani, leo ni wiki la pili sasa.
Aliposhindwa kupata mawasiliano kutoka VETA Mbeya, akatafuta Namba za VETA Makao Makuu. Hata Makao Makuu hakuna kitu kabisa. Kila akipiga simu haipatikani kabisa.
Naomba mh. Waziri Mkuu ingilia kati suala hili. Watu wanapata shida sana.
Form za veta huanza kutolewa mwezi wa 8 katika vituo vyote nchi nzima. Bei ya form ni 5000 tu unalipa baada ya kupewa control namba.
Hivo wala hauna shida ya kupiga simu wewe nenda kwenye chuo kilicho jirani yako wambie unataka form ya kujiunga.
Unaweza pia kuchukua form kwenye website ya veta na ukaijaza ukapeleka chuo chochote kilicho jirani na wewe.website ya veta ni
Www.veta.go.tz. karibu sana