Nani kakwambia huyo mzazi anatoka Mwakaleli?duh! hata hili ni la kushughulikiwa na waziri mkuu? sasa huyo mzazi ameshindwa kutoka hapo mwakaleli kwenda mbeya mjini ili akutane na wahusika man to man?
Kuna mzazi amejaribu kupiga simu katika chuo cha VETA Mbeya ili apate utaratibu wa kumpeleka mwanae mwaka 2024 lakini ameambulia patupu.
Namba zote za mawasiliano walizoziweka mtandaoni hazipatikani, leo ni wiki la pili sasa.
Aliposhindwa kupata mawasiliano kutoka VETA Mbeya, akatafuta Namba za VETA Makao Makuu. Hata Makao Makuu hakuna kitu kabisa. Kila akipiga simu haipatikani kabisa.
Naomba mh. Waziri Mkuu ingilia kati suala hili. Watu wanapata shida sana.
Panda basi uende hapo chuoni acha utotoKuna mzazi amejaribu kupiga simu katika chuo cha VETA Mbeya ili apate utaratibu wa kumpeleka mwanae mwaka 2024 lakini ameambulia patupu.
Namba zote za mawasiliano walizoziweka mtandaoni hazipatikani, leo ni wiki la pili sasa.
Aliposhindwa kupata mawasiliano kutoka VETA Mbeya, akatafuta Namba za VETA Makao Makuu. Hata Makao Makuu hakuna kitu kabisa. Kila akipiga simu haipatikani kabisa.
Naomba mh. Waziri Mkuu ingilia kati suala hili. Watu wanapata shida sana.
ingiaa kwenye website ya VETA wanatoa utaratibu wotee namna ya kujiunga na vyuo vyao kila siku na namba zao zinapatikana Muda wote wa kazii hadii wasapu wanajibuu,,,usipendee kulalamika hta Kwa vitu vidogo vidogo Sasa hapo wazirii mkuu aingiliee nini,,upuuzii mtupuKuna mzazi amejaribu kupiga simu katika chuo cha VETA Mbeya ili apate utaratibu wa kumpeleka mwanae mwaka 2024 lakini ameambulia patupu.
Namba zote za mawasiliano walizoziweka mtandaoni hazipatikani, leo ni wiki la pili sasa.
Aliposhindwa kupata mawasiliano kutoka VETA Mbeya, akatafuta Namba za VETA Makao Makuu. Hata Makao Makuu hakuna kitu kabisa. Kila akipiga simu haipatikani kabisa.
Naomba mh. Waziri Mkuu ingilia kati suala hili. Watu wanapata shida sana.
Kama sio sahihi kwani wasitoe updates za namba sahihi kwenye tovuti zao?Mwakaleli , ebu Mkuu tafuta namba Yao sahihi UPIGE. I'm sure hizo namba unazopiga sio sahihi.
🤣🤣Labda sikuhizi kaajiriwa kama phone operator wa vetaKwanini waziri mkuu? Hebu tuwe serious na issues
Waziri mkuu ndio anafanya kazi Veta?
🤣🤣Kuna vile vizee vinakuwa kwenye taasisi vyeti vile vya mkolon sema ndo hivyo vinavumiliwa muda wao uishe,vinakuwaga vikwamisha ishu nyingi za taasisiHizi namba za huduma Kwa wateja taasisi za umma ni bosheni tu,aende chuoni kabisa.
Ila ni hivi... vyuo vya Veta vimejaa vizee ambavyo vingetakiwa kuwa tayari vimestaafu,na vijana wanaopenda Maisha ya Ista Kwa mshahara wa kima Cha chini.
Mshauri rafiki yako aende kabisa na hela ya rushwa kuanzia 25k,suala litashulikiwa mapema sana,Bora aende na rushwa ada atavumiliwa.
Bila rushwa ataambiwa nafasi zimejaa.
Watu wa ajabu sana🤣🤣Labda sikuhizi kaajiriwa kama phone operator wa veta
Piga namba hii 0755 990 220 Atakuongoza huyo Mr. Deo,Ukiona hapatikani nitakupa namba ya mkuu wa hapo.Kuna mzazi amejaribu kupiga simu katika chuo cha VETA Mbeya ili apate utaratibu wa kumpeleka mwanae mwaka 2024 lakini ameambulia patupu.
Namba zote za mawasiliano walizoziweka mtandaoni hazipatikani, leo ni wiki la pili sasa.
Aliposhindwa kupata mawasiliano kutoka VETA Mbeya, akatafuta Namba za VETA Makao Makuu. Hata Makao Makuu hakuna kitu kabisa. Kila akipiga simu haipatikani kabisa.
Naomba mh. Waziri Mkuu ingilia kati suala hili. Watu wanapata shida sana.
www.veta.go.tzKuna mzazi amejaribu kupiga simu katika chuo cha VETA Mbeya ili apate utaratibu wa kumpeleka mwanae mwaka 2024 lakini ameambulia patupu.
Namba zote za mawasiliano walizoziweka mtandaoni hazipatikani, leo ni wiki la pili sasa.
Aliposhindwa kupata mawasiliano kutoka VETA Mbeya, akatafuta Namba za VETA Makao Makuu. Hata Makao Makuu hakuna kitu kabisa. Kila akipiga simu haipatikani kabisa.
Naomba mh. Waziri Mkuu ingilia kati suala hili. Watu wanapata shida sana.
Sasa hilo ni swala la waziri kweli? Kwa nini asiende hapo moja kwa moja?Kuna mzazi amejaribu kupiga simu katika chuo cha VETA Mbeya ili apate utaratibu wa kumpeleka mwanae mwaka 2024 lakini ameambulia patupu.