Thubutu, huko ndio kula yakeVipi kuhusu tozo zinavyoji double haja lisemea huyu PM.?
Ndio ila uma wasiusahau maana ndio unaopaswa kupewa kipaumbele. Vitu km hvyo vya kina makwinyo ilibidi wizara ziongelee na sio PM kwa mtazamo wanguThubutu, huko ndio kula yake
Jamaa wenu wa Tanga Rank yake ni kubwa!!..He is doing a good business lakini ukweli ni kwamba afanye vyote hawezi kupigana na kiduku!!.Karopoka siasa, mwakinyo kupigana na twaha kiduku, naamin hana mpango huo, ukisikiliza vizur mahojiano yake utagundua jambbo kwa huyu mchiz wa tanga. Jamaa kuna jambo analipambania, kuna sehemu anataka kufika
Waziri mkuu ni mtu mzito!Karopoka siasa, mwakinyo kupigana na twaha kiduku, naamin hana mpango huo, ukisikiliza vizur mahojiano yake utagundua jambbo kwa huyu mchiz wa tanga. Jamaa kuna jambo analipambania, kuna sehemu anataka kufika
Ukiona kitu kinapaswa kuongelewa na wizara ujue mkuu wake ni waziri mkuuNdio ila uma wasiusahau maana ndio unaopaswa kupewa kipaumbele. Vitu km hvyo vya kina makwinyo ilibidi wizara ziongelee na sio PM kwa mtazamo wangu
Nimekupata. [emoji1303]Ukiona kitu kinapaswa kuongelewa na wizara ujue mkuu wake ni waziri mkuu
Hapo wizara inatakiwa kulihakikisha linafanyika tu
Wanatofautiana uzito wewe!Jamaa wenu wa Tanga Rank yake ni kubwa!!..He is doing a good business lakini ukweli ni kwamba afanye vyote hawezi kupigana na kiduku!!..Anajua akipoteza pambano ndio mwisho wake!!..Hana uwezo wa kumpiga kiduku!!.. Biashara yake Itakua imefika ukingoni!!..Huoni ajabu watu wanaweka fedha lakini yeye hataki!!
Nisoma mahojiano yake na alikuwa na hoja, kwa rank yake siyo bondia wa kupigania sijui gari za milioni kumi. Mabondia wapo wengi, Twaha atafute mapambano na mabondia wa nje tuone vitasa vinavyotembea.Jamaa wenu wa Tanga Rank yake ni kubwa!!..He is doing a good business lakini ukweli ni kwamba afanye vyote hawezi kupigana na kiduku!!..Anajua akipoteza pambano ndio mwisho wake!!..Hana uwezo wa kumpiga kiduku!!.. Biashara yake Itakua imefika ukingoni!!..Huoni ajabu watu wanaweka fedha lakini yeye hataki!!
Watu wameweka land cruiser V8 na fedha lakini yeye anaogopa kupoteza Kwa Local boxer!!!..Hii ni fedheha Kwa manager wake na kampuni yake hii ya boxing!!..Nisoma mahojiano yake na alikuwa na hoja, kwa rank yake siyo bondia wa kupigania sijui gari za milioni kumi. Mabondia wapo wengi, Twaha atafute mapambano na mabondia wa nje tuone vitasa vinavyotembea.
Umeangalia nilichoandika vizuri?!!.. Ranking Mwakinyo yupo juu sana lakini uhalisia hawezi kumpiga kiduku!!...Wanatofautiana uzito wewe!
huu ndio ukweliUmeangalia nilichoandika vizuri?!!.. Ranking Mwakinyo yupo juu sana lakini uhalisia hawezi kumpiga kiduku!!...
Mwakinyo hataki game za ndondo kwa sasa.Umeangalia nilichoandika vizuri?!!.. Ranking Mwakinyo yupo juu sana lakini uhalisia hawezi kumpiga kiduku!!...