Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa, asema Tanzania inasubiri mpambano wa mwakinyo vs kiduku

Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa, asema Tanzania inasubiri mpambano wa mwakinyo vs kiduku

Kajeba

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2020
Posts
1,057
Reaction score
2,364
Igweeeeeeeeeeee
Hatimaye file limefika kwa waziri mkuu
Jana kabla ya kuahirishwa kwa vikao vya bunge, Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa alipongeza juhudi na mafanikio yanayofikiwa na wanamasumbwi wa kitanzania kwani wanaiwakilisha nchi vyema katika anga la kimataifa

Alienda mbali zaidi kwa kuwataja Hassan Mwakinyo na Twaha Kiduku kwamba wamefanya vizuri katika ndondi hivyo hatuna zaidi cha kupoteza zaidi ya kushuhudia mpambano mkali baina ya mabondia hao

Waziri amesema sasa tusubirie pambano kati ya Hassan Mwakinyo vs Twaha Kiduku

Hapa tunaenda kumpata Tanzania one kwa vitendo sio porojo tu
 
Karopoka siasa, mwakinyo kupigana na twaha kiduku, naamin hana mpango huo, ukisikiliza vizur mahojiano yake utagundua jambbo kwa huyu mchiz wa tanga. Jamaa kuna jambo analipambania, kuna sehemu anataka kufika
Jamaa wenu wa Tanga Rank yake ni kubwa!!..He is doing a good business lakini ukweli ni kwamba afanye vyote hawezi kupigana na kiduku!!.

Anajua akipoteza pambano ndio mwisho wake!!..Hana uwezo wa kumpiga kiduku!!.. Biashara yake Itakua imefika ukingoni!!..Huoni ajabu watu wanaweka fedha lakini yeye hataki!!
 
Karopoka siasa, mwakinyo kupigana na twaha kiduku, naamin hana mpango huo, ukisikiliza vizur mahojiano yake utagundua jambbo kwa huyu mchiz wa tanga. Jamaa kuna jambo analipambania, kuna sehemu anataka kufika
Waziri mkuu ni mtu mzito!
Akiamrisha hili la mwakinyo haliwezi shindikana
 
Ndio ila uma wasiusahau maana ndio unaopaswa kupewa kipaumbele. Vitu km hvyo vya kina makwinyo ilibidi wizara ziongelee na sio PM kwa mtazamo wangu
Ukiona kitu kinapaswa kuongelewa na wizara ujue mkuu wake ni waziri mkuu

Hapo wizara inatakiwa kulihakikisha linafanyika tu
 
Jamaa wenu wa Tanga Rank yake ni kubwa!!..He is doing a good business lakini ukweli ni kwamba afanye vyote hawezi kupigana na kiduku!!..Anajua akipoteza pambano ndio mwisho wake!!..Hana uwezo wa kumpiga kiduku!!.. Biashara yake Itakua imefika ukingoni!!..Huoni ajabu watu wanaweka fedha lakini yeye hataki!!
Wanatofautiana uzito wewe!
 
Huyu Waziri mkuu anafanya kazi gani.
Naona yuko pembeni kabisa ya mstari.
Makamu wa rais yuko wapi
 
Jamaa wenu wa Tanga Rank yake ni kubwa!!..He is doing a good business lakini ukweli ni kwamba afanye vyote hawezi kupigana na kiduku!!..Anajua akipoteza pambano ndio mwisho wake!!..Hana uwezo wa kumpiga kiduku!!.. Biashara yake Itakua imefika ukingoni!!..Huoni ajabu watu wanaweka fedha lakini yeye hataki!!
Nisoma mahojiano yake na alikuwa na hoja, kwa rank yake siyo bondia wa kupigania sijui gari za milioni kumi. Mabondia wapo wengi, Twaha atafute mapambano na mabondia wa nje tuone vitasa vinavyotembea.
 
Watu wameweka land cruiser V8 na fedha lakini yeye anaogopa kupoteza Kwa Local boxer!!!..Hii ni fedheha Kwa manager wake na kampuni yake hii ya boxing!!..
 
Back
Top Bottom