Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa, asema Tanzania inasubiri mpambano wa mwakinyo vs kiduku

Unachojua wewe ni maneno machafu kama ulivyo wewe!!!....maneno yako na id fake ndio ujuaji huu!!..Umekunywa chai lakini Ndugu yangu
 
Mimi namkubali sana kiduku lakini nafikiri kiduku apigane kwanza na Roboti moja linaitwa kidunda..tuone itakuwaje.
 
Tunausubiria kwa hamu zaidi mnyukano wa kugombea urais ccm 2025 🤣
 
Wivu uache kuwa nao wewe,ambae hata jina unalotumia sio lako!!.....Bora kuwa Victim wa Zika with proper identification!!
Unahamisha mjadala, kuna uhusiano gani usemacho na mada. Jenga hoja. Acha wivu kwa vijana, wanatumia nguvu na juhudi kubwa kufika hapo walipo.

Sasa nikueleweshe

Kuhusu jina. Japo, haihusiani na mada, kwakuwa umelileta nitakuelewesha. Jina ni utambulisho na ni alama tu. Hebu niambie, ni nani hapa JF aliwahi kukuletea cheti chake cha kuzaliwa ulichojiridhisha kimesajiliwa na mamlaka husika? Wewe kujitambulisha kwa jina hilo, kunathibitishaje ni jina lako halisi? Mimi kutumia jina hilo,kunathibitishaje kuwa si jina halisi?Unakumbuka hapo juu nilikwambia umeshambuliwa na zika? Sikukosea bila shaka.

Msisitizo: Usiharibu mjadala. Hiki ulicholeta hakina uhusiano na mada.
 
Kumbe Una matatizo ya Akili kunizidi!!
 
Unachojua wewe ni maneno machafu kama ulivyo wewe!!!....maneno yako na id fake ndio ujuaji huu!!..Umekunywa chai lakini Ndugu yangu
Haya unayoongeza hayahusiani na mada ndugu. Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo. Umejaa ubinafsi na wivu. Unaona maneno machafu kwa mwenzako, yako huyaoni? Wewe ndo umeona yote uliyoandika ni matakatifu, sivyo? Umeyaanzisha mwenyewe. Na ulipoleta mada, ulijua fika hapa kuna mamia ya watu wenye mitazamo tofauti. Hivyo, kubali kuwa si kila uwazacho ndicho wengine wanachowaza.

Ikibidi basi kubali kuhitilafiana bila ya kuhasimiana
 
Tunataka wapigane wapate Fedha (mafanikio) wewe hutaki wapigane (chuki,wivu,kisirani) ndio maana nimesema wewe Una matatizo kwenye akili zako kunishinda!!....Nakuuliza Umekunywa chai kweli?
 
Yes. Ndiyo maana unaona mimi sihoji jina lako. Aidha, siingizi visivyohusiana kwenye mjadala. Kweli mimi na kuzidi kwa tatizo la akili
Leo Manchester United wakija Tanzania kucheza na Simba tutasema nini?!!..Kama Huyu Bondia wenu hawezi kupigana na kiduku kisa anapigana nnje ya nchi?!!..Au unachosema hujui,au njaa ndio imevuluga akili zako kiasi hiki?!!..
 
Ubinafsi na wivu ndio chanzo cha mafanikio hili nalo unataka Hadi upigwe makofi ndio ufahamu!!!
 
Tunataka wapigane wapate Fedha (mafanikio) wewe hutaki wapigane (chuki,wivu,kisirani) ndio maana nimesema wewe Una matatizo kwenye akili zako kunishinda!!....Nakuuliza Umekunywa chai kweli?
Hii haikuwa hoja yako ya msingi. Unayumba, rejea koment yako ya awali iliyotufikisha hapa.

Tazama jinsi una shida ya kuchanganua mambo. Mara kadhaa sasa unahoji suala la chai. Yani, kwakuwa umekulia utamaduni wa chai , basi kichwani imekukaa, ASUBUHI = CHAI. Nani kakwambia kila mtu hapa duniani hunywa chai? Una tatizo kubwa , sema hujijui.
Ubinafsi na wivu ndio chanzo cha mafanikio hili nalo unataka Hadi upigwe makofi ndio ufahamu!!!
 
Leo Manchester United wakija Tanzania kucheza na Simba tutasema nini?!!..Kama Huyu Bondia wenu hawezi kupigana na kiduku kisa anapigana nnje ya nchi?!!..Au unachosema hujui,au njaa ndio imevuluga akili zako kiasi hiki?!!..
Ninaanza kuona kwanini unaonekana kushambuliwa na zika. Bado hata mantiki inakusumbua. So, ulitaka unachotaka wewe ndicho akifanye Mwakinyo ama Kiduku? Unashindwa kujua hata hili dogo tu, kuwa ile ni kazi ya watu kama wewe jinsi unavyopigika hadi unakuja kulazimisha watu wafanye utakayo humu mtandaoni?
 
Kwa sasa wapo uzito tofauti, ila kwenye ndondi kuna kuongeza au kupunguza uzito ili kuwa katika daraja moja.
Ok ahsante naona pia ikiwezekana ni ngumu kwa sababu unayepambana nae km uzito ni 70-76
Inatakiwa upunguze angalau 4 .Sasa sijajua Twaha ana uzito gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…