Unahamisha mjadala, kuna uhusiano gani usemacho na mada. Jenga hoja. Acha wivu kwa vijana, wanatumia nguvu na juhudi kubwa kufika hapo walipo.
Sasa nikueleweshe
Kuhusu jina. Japo, haihusiani na mada, kwakuwa umelileta nitakuelewesha. Jina ni utambulisho na ni alama tu. Hebu niambie, ni nani hapa JF aliwahi kukuletea cheti chake cha kuzaliwa ulichojiridhisha kimesajiliwa na mamlaka husika? Wewe kujitambulisha kwa jina hilo, kunathibitishaje ni jina lako halisi? Mimi kutumia jina hilo,kunathibitishaje kuwa si jina halisi?Unakumbuka hapo juu nilikwambia umeshambuliwa na zika? Sikukosea bila shaka.
Msisitizo: Usiharibu mjadala. Hiki ulicholeta hakina uhusiano na mada.