Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Watakuwa mafundi mchundo
Na walioenda Veta wakimaliza wakatafute degree sasa ngoma iwe droo
Ukitoka VETA unabidi usome theolojia Au madrassa ili kupata Elimu ya Imani
Primary
O level
A level
University
Veta
Theology or Madrassa
Ccm ndo wanaratibu huo mpango wa kuichezea ElimuMtu hata asome Elimu zote bila mtaji na mazingira Bora ni Kazi bure tuu.
Sio kila kijana anaweza kujiongeza. Vijana wengi huhitaji mfumo
Ccm ndo wanaratibu huo mpango wa kuichezea Elimu
Nchi inategemea kilimo lakini hamna ata kiwanda kimoja cha kutengeneza tractorTatizo la ajira hopa nchini linatengenezwa na mfumo mbovu wa uongozi wa kisiasa. Bila kurekebisha kasoro hii hata kama vijana wote wakuwa na ujuzi bado hawataweza kujiajiri.
Nitoe mfano mmoja tu. SUA inatoa shahada za mambo ya kilimo na mifugo miaka nenda rudi, lkn hatuwaoni wahitimu wa SUA mashambani wakati ardhi tunayo tele. Unadhani sababu ni nini? .
Sasa usome VETA uanze kuhitaji kuajiriwa na nani?Salamu ndugu Watanzania!
Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa Watanzania wengi wamesikia Kauli yako ukiwataka Wasomi wenye degree waende sasa VETA wakasome tena.
Ndugu Waziri Mkuu, huenda hujui maumivu ya vijana hawa, na zaidi hujui huzuni walizonazo Wazazi waliowasomesha kwa jasho na damu kwa Miaka ya kutosha.
Kauli yako ipo upande negative zaidi kuliko positive.
Unajaribu kuiambia jamii kuwa Degree kwa sasa haina Dili sio. Unajaribu kusema vyuo vikuu vifungwe.
Unajaribu kusema Wanafunzi waliopo Chuo kikuu na wakufunzi wao wanafanya Kazi bure.
Soma Pia: Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri
Waziri Mkuu, kumwambia kijana akasome VETA sio Suluhu ya tatizo la ajira katika nchi hii.
Ninawajua Makumi ya vijana waliosoma VETA Wengine wakiwa ndugu zangu lakini nao wanalia Ajira Ajira.
Kusoma Veta sio Suluhu la kutatua tatizo la ajira.
Vijana wanakumbwa na matatizo yafuatayo katika ishu ya Ajira (kuajiriwa na kujiajiri)
1. Ukosefu wa Mitaji.
2. Tatizo la mfumo wa kutoza watu Kodi na kurasimisha Kazi za vijana.
3. Tatizo la cheap Labour
Usukule na utumwa kwenye nchi yetu umetamalaki.
Walioajiriwa wanalipwa mishahara isiyoeleweka.
4. Serikali kushindwa kuvamia mataifa mengine.
Tukijifanya waungwana kwa Watu wa nje tutawaonea watu wetu wa ndani.
Tutatesa vijana wetu. Tutawaminya.
Kila siku naimba wimbo huu kuishauri serikali ivamie mataifa mengine yaliyolegelege kwa Maslahi ya vijana wetu.
UVAMIZI ndio Njia pekee ya kuondokana na tatizo la ajira katika taifa letu.
Kazi ya serikali na majeshi yetu ni kuratibu ulinzi na usalama kwa Watu wetu na biashara na maslahi yetu Nje ya Nchi
Waziri Mkuu katika andiko hili nimekutumia wewe kama kiwakilishi wa viongozi wenzako na Kauli yako nimeitumia ili kurudia kilekile ninachokiandikaga.
Vijana hawataki kwenda VETA tena
Vijana hawataki kusoma Tena.
Vijana tayari wanaujuzi
Vijana tayari Wana Elimu
Serikali mmefanya upande wenu kwa sehemu ya Kwanza vijana wakafanya sehemu Yao kwa kusoma Elimu ngazi mbalimbali. Ni zamu yenu serikali kusogeza kete nyingine ili vijana nao wacheze kete Yao ya kuvamia kwingine.
Watu wametoka shule wanaujuzi unataka warudi tena shule. Kwani VETA na Chuo kina tofauti gani?
Ndugu viongozi, nisikilizeni Mimi Mtibeli. Ninachoongea ndio Future yetu. Ndio Nuru yetu ilipo.
Tuifute future yetu
Tuifute Nuru! Nuru iliyo mbele yetu.
Kulinda nchi na mipaka ya Nchi tafsiri yake ni kuvamia wengine ili wasikuvamie.
Huwezi Linda Mipaka ya nchi kwa kukaa tuu nchini mwako. Hivyo ndivyo Watibeli tunavyowaza na kufanya. Tusipaki Basi. Tushambulie
Haya!
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Nchi inategemea kilimo lakini hamna ata kiwanda kimoja cha kutengeneza tractor
Pascal Mayalla
Lucas Mwashambwa
ChoiceVariable
Tlaatlaah
chiembe
CCM waache ubinafsi kama Mpango ni kuifanya Tanzania kuwa Taifa kubwa.
Vinginevyo tuna Miaka miatano kuendelea kuwa undeveloped Country
CCM wamelewa madaraka, wanaropoka ropoka tu bila kupima uzito wa maneno yaoSalamu ndugu Watanzania!
Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa Watanzania wengi wamesikia Kauli yako ukiwataka Wasomi wenye degree waende sasa VETA wakasome tena.
Ndugu Waziri Mkuu, huenda hujui maumivu ya vijana hawa, na zaidi hujui huzuni walizonazo Wazazi waliowasomesha kwa jasho na damu kwa Miaka ya kutosha.
Kauli yako ipo upande negative zaidi kuliko positive.
Unajaribu kuiambia jamii kuwa Degree kwa sasa haina Dili sio. Unajaribu kusema vyuo vikuu vifungwe.
Unajaribu kusema Wanafunzi waliopo Chuo kikuu na wakufunzi wao wanafanya Kazi bure.
Soma Pia: Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri
Waziri Mkuu, kumwambia kijana akasome VETA sio Suluhu ya tatizo la ajira katika nchi hii.
Ninawajua Makumi ya vijana waliosoma VETA Wengine wakiwa ndugu zangu lakini nao wanalia Ajira Ajira.
Kusoma Veta sio Suluhu la kutatua tatizo la ajira.
Vijana wanakumbwa na matatizo yafuatayo katika ishu ya Ajira (kuajiriwa na kujiajiri)
1. Ukosefu wa Mitaji.
2. Tatizo la mfumo wa kutoza watu Kodi na kurasimisha Kazi za vijana.
3. Tatizo la cheap Labour
Usukule na utumwa kwenye nchi yetu umetamalaki.
Walioajiriwa wanalipwa mishahara isiyoeleweka.
4. Serikali kushindwa kuvamia mataifa mengine.
Tukijifanya waungwana kwa Watu wa nje tutawaonea watu wetu wa ndani.
Tutatesa vijana wetu. Tutawaminya.
Kila siku naimba wimbo huu kuishauri serikali ivamie mataifa mengine yaliyolegelege kwa Maslahi ya vijana wetu.
UVAMIZI ndio Njia pekee ya kuondokana na tatizo la ajira katika taifa letu.
Kazi ya serikali na majeshi yetu ni kuratibu ulinzi na usalama kwa Watu wetu na biashara na maslahi yetu Nje ya Nchi
Waziri Mkuu katika andiko hili nimekutumia wewe kama kiwakilishi wa viongozi wenzako na Kauli yako nimeitumia ili kurudia kilekile ninachokiandikaga.
Vijana hawataki kwenda VETA tena
Vijana hawataki kusoma Tena.
Vijana tayari wanaujuzi
Vijana tayari Wana Elimu
Serikali mmefanya upande wenu kwa sehemu ya Kwanza vijana wakafanya sehemu Yao kwa kusoma Elimu ngazi mbalimbali. Ni zamu yenu serikali kusogeza kete nyingine ili vijana nao wacheze kete Yao ya kuvamia kwingine.
Watu wametoka shule wanaujuzi unataka warudi tena shule. Kwani VETA na Chuo kina tofauti gani?
Ndugu viongozi, nisikilizeni Mimi Mtibeli. Ninachoongea ndio Future yetu. Ndio Nuru yetu ilipo.
Tuifute future yetu
Tuifute Nuru! Nuru iliyo mbele yetu.
Kulinda nchi na mipaka ya Nchi tafsiri yake ni kuvamia wengine ili wasikuvamie.
Huwezi Linda Mipaka ya nchi kwa kukaa tuu nchini mwako. Hivyo ndivyo Watibeli tunavyowaza na kufanya. Tusipaki Basi. Tushambulie
Haya!
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Sasa usome VETA uanze kuhitaji kuajiriwa na nani?
Kwamba wewe ni fundi uashi ukaajiriwe wapi badala ya kujiajiri?
Wewe ni fundi cherehani ukaajiriwe wapi tena?
Wewe ni fundi mageti ukaajiriwe na nani?
Labda kama wewe nk Dereva wa mitambo mikubwa ambapo huko Wala Serikali haiwapi admission wengi Bali wachache sana.
Mwisho Serikali imekuwa inatoa Mitano Kwa wahitimu wa VETA Kwa vifaa au Fedha au ufadhili wa ubunifu wao.
On top of that Kwa Sasa Serikali itaanza kuwapa hap Vijana hela za mfano bila riba zilenazosikia za asilimia 10 ya Halmashauri.
Mwisho Kuna incubation za Vijana nyingi sana ni vile hao Watoto Wenu ni broilers akili hamna ,kama alivyosema Makonda Wamewekeza Kwenye ujinga wa umbea,Michezo,ngono na kutumikishwa na Wapinzani badala ya kutafuta fursa nk.
Mwaka huu wote tuna sababubya kuandamana na kudai katiba mpyaSalamu ndugu Watanzania!
Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa Watanzania wengi wamesikia Kauli yako ukiwataka Wasomi wenye degree waende sasa VETA wakasome tena.
Ndugu Waziri Mkuu, huenda hujui maumivu ya vijana hawa, na zaidi hujui huzuni walizonazo Wazazi waliowasomesha kwa jasho na damu kwa Miaka ya kutosha.
Kauli yako ipo upande negative zaidi kuliko positive.
Unajaribu kuiambia jamii kuwa Degree kwa sasa haina Dili sio. Unajaribu kusema vyuo vikuu vifungwe.
Unajaribu kusema Wanafunzi waliopo Chuo kikuu na wakufunzi wao wanafanya Kazi bure.
Soma Pia: Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri
Waziri Mkuu, kumwambia kijana akasome VETA sio Suluhu ya tatizo la ajira katika nchi hii.
Ninawajua Makumi ya vijana waliosoma VETA Wengine wakiwa ndugu zangu lakini nao wanalia Ajira Ajira.
Kusoma Veta sio Suluhu la kutatua tatizo la ajira.
Vijana wanakumbwa na matatizo yafuatayo katika ishu ya Ajira (kuajiriwa na kujiajiri)
1. Ukosefu wa Mitaji.
2. Tatizo la mfumo wa kutoza watu Kodi na kurasimisha Kazi za vijana.
3. Tatizo la cheap Labour
Usukule na utumwa kwenye nchi yetu umetamalaki.
Walioajiriwa wanalipwa mishahara isiyoeleweka.
4. Serikali kushindwa kuvamia mataifa mengine.
Tukijifanya waungwana kwa Watu wa nje tutawaonea watu wetu wa ndani.
Tutatesa vijana wetu. Tutawaminya.
Kila siku naimba wimbo huu kuishauri serikali ivamie mataifa mengine yaliyolegelege kwa Maslahi ya vijana wetu.
UVAMIZI ndio Njia pekee ya kuondokana na tatizo la ajira katika taifa letu.
Kazi ya serikali na majeshi yetu ni kuratibu ulinzi na usalama kwa Watu wetu na biashara na maslahi yetu Nje ya Nchi
Waziri Mkuu katika andiko hili nimekutumia wewe kama kiwakilishi wa viongozi wenzako na Kauli yako nimeitumia ili kurudia kilekile ninachokiandikaga.
Vijana hawataki kwenda VETA tena
Vijana hawataki kusoma Tena.
Vijana tayari wanaujuzi
Vijana tayari Wana Elimu
Serikali mmefanya upande wenu kwa sehemu ya Kwanza vijana wakafanya sehemu Yao kwa kusoma Elimu ngazi mbalimbali. Ni zamu yenu serikali kusogeza kete nyingine ili vijana nao wacheze kete Yao ya kuvamia kwingine.
Watu wametoka shule wanaujuzi unataka warudi tena shule. Kwani VETA na Chuo kina tofauti gani?
Ndugu viongozi, nisikilizeni Mimi Mtibeli. Ninachoongea ndio Future yetu. Ndio Nuru yetu ilipo.
Tuifute future yetu
Tuifute Nuru! Nuru iliyo mbele yetu.
Kulinda nchi na mipaka ya Nchi tafsiri yake ni kuvamia wengine ili wasikuvamie.
Huwezi Linda Mipaka ya nchi kwa kukaa tuu nchini mwako. Hivyo ndivyo Watibeli tunavyowaza na kufanya. Tusipaki Basi. Tushambulie
Haya!
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Mifumo ya umwagiliaji
Masoko ya nafaka
Maghala ya kikanda.
Masoko ya uhakika kimataifa kwa nchi tulizozivamia kwa namna fiche
Vijana wanalima wakipata bei sokoni inaanguka,