Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa, hata wakisoma VETA Baada ya kuhitimu wanahitaji aidha mtaji au waajiriwe

Salamu ndugu Watanzania!

Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa Watanzania wengi wamesikia Kauli yako ukiwataka Wasomi wenye degree waende sasa VETA wakasome tena.

Ndugu Waziri Mkuu, huenda hujui maumivu ya vijana hawa, na zaidi hujui huzuni walizonazo Wazazi waliowasomesha kwa jasho na damu kwa Miaka ya kutosha.

Kauli yako ipo upande negative zaidi kuliko positive.

Unajaribu kuiambia jamii kuwa Degree kwa sasa haina Dili sio. Unajaribu kusema vyuo vikuu vifungwe.
Unajaribu kusema Wanafunzi waliopo Chuo kikuu na wakufunzi wao wanafanya Kazi bure.

Soma Pia: Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri

Waziri Mkuu, kumwambia kijana akasome VETA sio Suluhu ya tatizo la ajira katika nchi hii.
Ninawajua Makumi ya vijana waliosoma VETA Wengine wakiwa ndugu zangu lakini nao wanalia Ajira Ajira.

Kusoma Veta sio Suluhu la kutatua tatizo la ajira.

Vijana wanakumbwa na matatizo yafuatayo katika ishu ya Ajira (kuajiriwa na kujiajiri)

1. Ukosefu wa Mitaji.

2. Tatizo la mfumo wa kutoza watu Kodi na kurasimisha Kazi za vijana.

3. Tatizo la cheap Labour
Usukule na utumwa kwenye nchi yetu umetamalaki.
Walioajiriwa wanalipwa mishahara isiyoeleweka.

4. Serikali kushindwa kuvamia mataifa mengine.
Tukijifanya waungwana kwa Watu wa nje tutawaonea watu wetu wa ndani.
Tutatesa vijana wetu. Tutawaminya.

Kila siku naimba wimbo huu kuishauri serikali ivamie mataifa mengine yaliyolegelege kwa Maslahi ya vijana wetu.

UVAMIZI ndio Njia pekee ya kuondokana na tatizo la ajira katika taifa letu.

Kazi ya serikali na majeshi yetu ni kuratibu ulinzi na usalama kwa Watu wetu na biashara na maslahi yetu Nje ya Nchi

Waziri Mkuu katika andiko hili nimekutumia wewe kama kiwakilishi wa viongozi wenzako na Kauli yako nimeitumia ili kurudia kilekile ninachokiandikaga.

Vijana hawataki kwenda VETA tena
Vijana hawataki kusoma Tena.
Vijana tayari wanaujuzi
Vijana tayari Wana Elimu

Serikali mmefanya upande wenu kwa sehemu ya Kwanza vijana wakafanya sehemu Yao kwa kusoma Elimu ngazi mbalimbali. Ni zamu yenu serikali kusogeza kete nyingine ili vijana nao wacheze kete Yao ya kuvamia kwingine.

Watu wametoka shule wanaujuzi unataka warudi tena shule. Kwani VETA na Chuo kina tofauti gani?

Ndugu viongozi, nisikilizeni Mimi Mtibeli. Ninachoongea ndio Future yetu. Ndio Nuru yetu ilipo.
Tuifute future yetu
Tuifute Nuru! Nuru iliyo mbele yetu.

Kulinda nchi na mipaka ya Nchi tafsiri yake ni kuvamia wengine ili wasikuvamie.
Huwezi Linda Mipaka ya nchi kwa kukaa tuu nchini mwako. Hivyo ndivyo Watibeli tunavyowaza na kufanya. Tusipaki Basi. Tushambulie

Haya!

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Umesema kuntu kabisa. Hata Lucas Mwashambwa kaliona hilo!
 
Tatizo la ajira hopa nchini linatengenezwa na mfumo mbovu wa uongozi wa kisiasa. Bila kurekebisha kasoro hii hata kama vijana wote wakuwa na ujuzi bado hawataweza kujiajiri.

Nitoe mfano mmoja tu. SUA inatoa shahada za mambo ya kilimo na mifugo miaka nenda rudi, lkn hatuwaoni wahitimu wa SUA mashambani wakati ardhi tunayo tele. Unadhani sababu ni nini? .
Sababu ni walimu wabovu
 
Salamu ndugu Watanzania!

Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa Watanzania wengi wamesikia Kauli yako ukiwataka Wasomi wenye degree waende sasa VETA wakasome tena.

Ndugu Waziri Mkuu, huenda hujui maumivu ya vijana hawa, na zaidi hujui huzuni walizonazo Wazazi waliowasomesha kwa jasho na damu kwa Miaka ya kutosha.

Kauli yako ipo upande negative zaidi kuliko positive.

Unajaribu kuiambia jamii kuwa Degree kwa sasa haina Dili sio. Unajaribu kusema vyuo vikuu vifungwe.
Unajaribu kusema Wanafunzi waliopo Chuo kikuu na wakufunzi wao wanafanya Kazi bure.

Soma Pia: Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri

Waziri Mkuu, kumwambia kijana akasome VETA sio Suluhu ya tatizo la ajira katika nchi hii.
Ninawajua Makumi ya vijana waliosoma VETA Wengine wakiwa ndugu zangu lakini nao wanalia Ajira Ajira.

Kusoma Veta sio Suluhu la kutatua tatizo la ajira.

Vijana wanakumbwa na matatizo yafuatayo katika ishu ya Ajira (kuajiriwa na kujiajiri)

1. Ukosefu wa Mitaji.

2. Tatizo la mfumo wa kutoza watu Kodi na kurasimisha Kazi za vijana.

3. Tatizo la cheap Labour
Usukule na utumwa kwenye nchi yetu umetamalaki.
Walioajiriwa wanalipwa mishahara isiyoeleweka.

4. Serikali kushindwa kuvamia mataifa mengine.
Tukijifanya waungwana kwa Watu wa nje tutawaonea watu wetu wa ndani.
Tutatesa vijana wetu. Tutawaminya.

Kila siku naimba wimbo huu kuishauri serikali ivamie mataifa mengine yaliyolegelege kwa Maslahi ya vijana wetu.

UVAMIZI ndio Njia pekee ya kuondokana na tatizo la ajira katika taifa letu.

Kazi ya serikali na majeshi yetu ni kuratibu ulinzi na usalama kwa Watu wetu na biashara na maslahi yetu Nje ya Nchi

Waziri Mkuu katika andiko hili nimekutumia wewe kama kiwakilishi wa viongozi wenzako na Kauli yako nimeitumia ili kurudia kilekile ninachokiandikaga.

Vijana hawataki kwenda VETA tena
Vijana hawataki kusoma Tena.
Vijana tayari wanaujuzi
Vijana tayari Wana Elimu

Serikali mmefanya upande wenu kwa sehemu ya Kwanza vijana wakafanya sehemu Yao kwa kusoma Elimu ngazi mbalimbali. Ni zamu yenu serikali kusogeza kete nyingine ili vijana nao wacheze kete Yao ya kuvamia kwingine.

Watu wametoka shule wanaujuzi unataka warudi tena shule. Kwani VETA na Chuo kina tofauti gani?

Ndugu viongozi, nisikilizeni Mimi Mtibeli. Ninachoongea ndio Future yetu. Ndio Nuru yetu ilipo.
Tuifute future yetu
Tuifute Nuru! Nuru iliyo mbele yetu.

Kulinda nchi na mipaka ya Nchi tafsiri yake ni kuvamia wengine ili wasikuvamie.
Huwezi Linda Mipaka ya nchi kwa kukaa tuu nchini mwako. Hivyo ndivyo Watibeli tunavyowaza na kufanya. Tusipaki Basi. Tushambulie

Haya!

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
umesema ukweli mtupu.shida ni ukosefu wa mitaji ,na muda wa kusatafu kuwa mrefu sana.lizehe lizima la miaka 55 mpaka 60 ,65 liko kazini linafanya nini?

tupunguze muda wa kustafu vijana wapate ajira.wastani wa umri wa kuishi ni miaka 66 ,sasa mtu unakalisha kazini mpaka 60 ili iweje jamani? kwanza efficiency inapungua ndiyo maana utasikia mara faili limepotea kimbe lizee au libibi la miaka 60 liko ofisini halioni tena faili au herufi.let us be realistic
 
Back
Top Bottom