Huyo ni mjinga na unahangaika tu kumjibu! Yeye ni chawa serkali hii hata ifanye ujinga gani yeye kwake pambio!Mkuu nafikiri unajadili na kuwasema Watanzania kama watu back.
Umemfundisha mtu ufundi Ujenzi wamekuwa wengi embu tuambie wanajiajirije?
Au mafundi nguo,
Au mafundi seremala.
Ninawajua watengeneza masofa na makochi biashara ni ngumu imewadodea, kutokana na kila Kona kuna watengeneza masofa.
Serikali itaendelea kumenyeka na Kupata shida hata iwape Mikopo vijana wote Tanzania kama haitazingatia Sera za UVAMIZI.
Fikiria Tanzania hatuna kampuni kubwa la Ujenzi kama Arab Contractors. Embu fikiria.
Fikiria tunaagiza mafuta ya kula,na vitu vingine vidogovidogo.
Unajua ni Kwa nini?
Sababu Mojawapo ni kuwa na watu aina yako ya kuwachukulia Watanzania kama watu Back
1.Kwa Sasa mafundi ni wengi au wachache? Na Je wameajiriwa au wamejiajiri? Au umewahi sikia kazi za ufundi hazipo?
2.Tangu lini kazi za Ujenzi au uundaji au maintenance zikaisha Duniani? Mfano Canada inasema ndani ya miaka 5 ijayo italazimika ku import hasa kwenye sekta hizo za ujenzi, uzalishaji na madereva maana hata Sasa wanakabiliwa na Upungufu wa Nguvu kazi.
3.Uchumi wa Nchi yetu na Nchi zingine unajua hizo kazi Huwa haziishagi lakini pia hao wahitimu wa VETA ni rahisi kufanya ubunifu wa kujiajiri kuliko wale mliosomea maelezo meengi huko Chuo Kikuu.
5.Ieleweke vyema kwamba sio lengo la Serikali kumaliza unemployment 100% maana jambo Hilo haliwezekani practically and theories za Labor economics zinakataa.Serikali inalenga kuondoa tatizo la Ajira Kwa viwango vinavyokubalika kiuchumi.
6.Mwisho kwani huko Kwa wenye hizo kampuni sijui wanaovamia hakuna shida ya unemployment? Mfano China, Egypt,USA nk? So hio sio suluhisho na Wala hakuna namna ukifanya hivyo ndio utaondoa unemployment.
Huyo ni mjinga na unahangaika tu kumjibu! Yeye ni chawa serkali hii hata ifanye ujinga gani yeye kwake pambio!
Kama kujiajiri ni rahisi basi wafanyakazi wote walio ofisini zaidi ya miaka 15 watoke ajirani waje kujiajiri!
Waziri Mkuu aliongea jambo jema ila ukilichunguza kwa undani unagundua kabisa pumba ndo nyingi maana aliyeharibu mfumo wa elimu ni CCM mwenyewe!
Mtaji siyo lazima wanahitaji elimu ya ujasiriamali ambayo mimi nimeipima Ina mapungufu makubwaSalamu ndugu Watanzania!
Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa Watanzania wengi wamesikia Kauli yako ukiwataka Wasomi wenye degree waende sasa VETA wakasome tena.
Ndugu Waziri Mkuu, huenda hujui maumivu ya vijana hawa, na zaidi hujui huzuni walizonazo Wazazi waliowasomesha kwa jasho na damu kwa Miaka ya kutosha.
Kauli yako ipo upande negative zaidi kuliko positive.
Unajaribu kuiambia jamii kuwa Degree kwa sasa haina Dili sio. Unajaribu kusema vyuo vikuu vifungwe.
Unajaribu kusema Wanafunzi waliopo Chuo kikuu na wakufunzi wao wanafanya Kazi bure.
Soma Pia: Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri
Waziri Mkuu, kumwambia kijana akasome VETA sio Suluhu ya tatizo la ajira katika nchi hii.
Ninawajua Makumi ya vijana waliosoma VETA Wengine wakiwa ndugu zangu lakini nao wanalia Ajira Ajira.
Kusoma Veta sio Suluhu la kutatua tatizo la ajira.
Vijana wanakumbwa na matatizo yafuatayo katika ishu ya Ajira (kuajiriwa na kujiajiri)
1. Ukosefu wa Mitaji.
2. Tatizo la mfumo wa kutoza watu Kodi na kurasimisha Kazi za vijana.
3. Tatizo la cheap Labour
Usukule na utumwa kwenye nchi yetu umetamalaki.
Walioajiriwa wanalipwa mishahara isiyoeleweka.
4. Serikali kushindwa kuvamia mataifa mengine.
Tukijifanya waungwana kwa Watu wa nje tutawaonea watu wetu wa ndani.
Tutatesa vijana wetu. Tutawaminya.
Kila siku naimba wimbo huu kuishauri serikali ivamie mataifa mengine yaliyolegelege kwa Maslahi ya vijana wetu.
UVAMIZI ndio Njia pekee ya kuondokana na tatizo la ajira katika taifa letu.
Kazi ya serikali na majeshi yetu ni kuratibu ulinzi na usalama kwa Watu wetu na biashara na maslahi yetu Nje ya Nchi
Waziri Mkuu katika andiko hili nimekutumia wewe kama kiwakilishi wa viongozi wenzako na Kauli yako nimeitumia ili kurudia kilekile ninachokiandikaga.
Vijana hawataki kwenda VETA tena
Vijana hawataki kusoma Tena.
Vijana tayari wanaujuzi
Vijana tayari Wana Elimu
Serikali mmefanya upande wenu kwa sehemu ya Kwanza vijana wakafanya sehemu Yao kwa kusoma Elimu ngazi mbalimbali. Ni zamu yenu serikali kusogeza kete nyingine ili vijana nao wacheze kete Yao ya kuvamia kwingine.
Watu wametoka shule wanaujuzi unataka warudi tena shule. Kwani VETA na Chuo kina tofauti gani?
Ndugu viongozi, nisikilizeni Mimi Mtibeli. Ninachoongea ndio Future yetu. Ndio Nuru yetu ilipo.
Tuifute future yetu
Tuifute Nuru! Nuru iliyo mbele yetu.
Kulinda nchi na mipaka ya Nchi tafsiri yake ni kuvamia wengine ili wasikuvamie.
Huwezi Linda Mipaka ya nchi kwa kukaa tuu nchini mwako. Hivyo ndivyo Watibeli tunavyowaza na kufanya. Tusipaki Basi. Tushambulie
Haya!
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Mtaji siyo lazima wanahitaji elimu ya ujasiriamali ambayo mimi nimeipima Ina mapungufu makubwa
Majaliwa kaongea upuuzi usio na kifaniHuyo ni mjinga na unahangaika tu kumjibu! Yeye ni chawa serkali hii hata ifanye ujinga gani yeye kwake pambio!
Kama kujiajiri ni rahisi basi wafanyakazi wote walio ofisini zaidi ya miaka 15 watoke ajirani waje kujiajiri!
Waziri Mkuu aliongea jambo jema ila ukilichunguza kwa undani unagundua kabisa pumba ndo nyingi maana aliyeharibu mfumo wa elimu ni CCM mwenyewe!
Ukiona hivyo ujue kutengeneza tractor Tanzania ni gharama kubwa kuliko kuagiza. Maana yake tractor linalotengenezwa Tanzania litauzwa kwa bei kubwa kuliko tractor linaloagizwa nje ya nchi.Nchi inategemea kilimo lakini hamna ata kiwanda kimoja cha kutengeneza tractor
Biashara ni Capital Mkuu.
Kama wewe ni mfanyabiashara Hilo lipo wazi.
Wangapi wanafikra za kujiajiri na hawajajiajiri Kisa Mitaji?
Ni nchi gani legelege tunayoweza kuivamia? Kwa mfano DRC ina maslahi ya mataifa mengi. Ukivamia pale utagusa maslahi yao. Ni nchi ipi inafaa kuvamiwa?Salamu ndugu Watanzania!
Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa Watanzania wengi wamesikia Kauli yako ukiwataka Wasomi wenye degree waende sasa VETA wakasome tena.
Ndugu Waziri Mkuu, huenda hujui maumivu ya vijana hawa, na zaidi hujui huzuni walizonazo Wazazi waliowasomesha kwa jasho na damu kwa Miaka ya kutosha.
Kauli yako ipo upande negative zaidi kuliko positive.
Unajaribu kuiambia jamii kuwa Degree kwa sasa haina Dili sio. Unajaribu kusema vyuo vikuu vifungwe.
Unajaribu kusema Wanafunzi waliopo Chuo kikuu na wakufunzi wao wanafanya Kazi bure.
Soma Pia: Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri
Waziri Mkuu, kumwambia kijana akasome VETA sio Suluhu ya tatizo la ajira katika nchi hii.
Ninawajua Makumi ya vijana waliosoma VETA Wengine wakiwa ndugu zangu lakini nao wanalia Ajira Ajira.
Kusoma Veta sio Suluhu la kutatua tatizo la ajira.
Vijana wanakumbwa na matatizo yafuatayo katika ishu ya Ajira (kuajiriwa na kujiajiri)
1. Ukosefu wa Mitaji.
2. Tatizo la mfumo wa kutoza watu Kodi na kurasimisha Kazi za vijana.
3. Tatizo la cheap Labour
Usukule na utumwa kwenye nchi yetu umetamalaki.
Walioajiriwa wanalipwa mishahara isiyoeleweka.
4. Serikali kushindwa kuvamia mataifa mengine.
Tukijifanya waungwana kwa Watu wa nje tutawaonea watu wetu wa ndani.
Tutatesa vijana wetu. Tutawaminya.
Kila siku naimba wimbo huu kuishauri serikali ivamie mataifa mengine yaliyolegelege kwa Maslahi ya vijana wetu.
UVAMIZI ndio Njia pekee ya kuondokana na tatizo la ajira katika taifa letu.
Kazi ya serikali na majeshi yetu ni kuratibu ulinzi na usalama kwa Watu wetu na biashara na maslahi yetu Nje ya Nchi
Waziri Mkuu katika andiko hili nimekutumia wewe kama kiwakilishi wa viongozi wenzako na Kauli yako nimeitumia ili kurudia kilekile ninachokiandikaga.
Vijana hawataki kwenda VETA tena
Vijana hawataki kusoma Tena.
Vijana tayari wanaujuzi
Vijana tayari Wana Elimu
Serikali mmefanya upande wenu kwa sehemu ya Kwanza vijana wakafanya sehemu Yao kwa kusoma Elimu ngazi mbalimbali. Ni zamu yenu serikali kusogeza kete nyingine ili vijana nao wacheze kete Yao ya kuvamia kwingine.
Watu wametoka shule wanaujuzi unataka warudi tena shule. Kwani VETA na Chuo kina tofauti gani?
Ndugu viongozi, nisikilizeni Mimi Mtibeli. Ninachoongea ndio Future yetu. Ndio Nuru yetu ilipo.
Tuifute future yetu
Tuifute Nuru! Nuru iliyo mbele yetu.
Kulinda nchi na mipaka ya Nchi tafsiri yake ni kuvamia wengine ili wasikuvamie.
Huwezi Linda Mipaka ya nchi kwa kukaa tuu nchini mwako. Hivyo ndivyo Watibeli tunavyowaza na kufanya. Tusipaki Basi. Tushambulie
Haya!
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Baada ya mafundi nguo kuwa wengi umekuta hakuna wateja na hao mafundi nguo wamekaa tuu wako unemployed wiki,mwezi nk. Ukichukulia mfano wa mfanyabiashara yeyote Huwa Kila siku anauza?Mafundi kwenye kipengele kipi?
Mafundi nguo wapo wengi Sana.
Mazingira ni relatively Mazuri ndio maana maelfu ya watu wamejiajiri kuanzia shambani Hadi kwenye service sector .Watu wenye formal employment both private and government ni less than 2mln country wide,the rest wamejiajiri which suggest that Kuna mazingira Mazuri kiasi ila inatakiwa yaboreshwe zaidi.Unafikiri pangekuwa na mazingira rafiki ya kujiajiri kungekuwa na hili kundi kubwa la jobless
Swala la kuwa na aging population ni fursa Kwa Vijana wetu kama nolieleza kwamba wanahitajika watu wenye skills huko na kwingine kwenye aging populationUnazungumzia Canada. Unajua Population Pyramid ya Canada?
Kazi haziishi ila ushindani unaongezeka,Wachina wanatafuta fursa kokote tena ambako watu wamelala kama huku Bongo mnakosomea maelezo ya makaratasi ila hamtaki kusomea ujuzi.Mkishakuwa wengi Kazi zinaisha.
Unafikiri uwepo wa wachina Duniani unasababishwa na nini?
Wewe kama unajua eleza ,pia Taja hizo Nchi zilizomaliza unemployment rate Kwa 100%Lengo la serikali lazima liwe kumaliza tatizo la ajira na inawezekana kwa asilimia Mia Moja.
Sema wewe hujui nini kifanyike.
Ndio naiju Iko kwenye acceptable range kama nilivyosema hakuna Nchi imewahi maliza unemployment kabisa ila itapunguza Kwa viwango vinavyohitajika.Hata huko Canada sio kwamba hakuna ma jobless wapo ila inategemea na fani.USA unemployment Rate yake unaijua?
Hizo nchi ulizozitaja unaijua unemployment Rate yake ukilinganisha na nchi yetu?
Najua sana Swala la mishahara midogo ni kesi nyingine ni.kuahamisha magoli na kwenye huo huo mishahara hakuna ambae anaacha kazi.Unajua walioajiriwa wengi Tanzania mishahara Yao haiwatoshi na wanalipwa mishahara ya mbuzi mee!
Wanaolipwa kuanzia Laki tano kwenda juu katika nchi yako unajua ni Wachache sana
Kwanza huyu waziri mkuu ana dharau.Salamu ndugu Watanzania!
Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa Watanzania wengi wamesikia Kauli yako ukiwataka Wasomi wenye degree waende sasa VETA wakasome tena.
Ndugu Waziri Mkuu, huenda hujui maumivu ya vijana hawa, na zaidi hujui huzuni walizonazo Wazazi waliowasomesha kwa jasho na damu kwa Miaka ya kutosha.
Kauli yako ipo upande negative zaidi kuliko positive.
Unajaribu kuiambia jamii kuwa Degree kwa sasa haina Dili sio. Unajaribu kusema vyuo vikuu vifungwe.
Unajaribu kusema Wanafunzi waliopo Chuo kikuu na wakufunzi wao wanafanya Kazi bure.
Soma Pia: Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri
Waziri Mkuu, kumwambia kijana akasome VETA sio Suluhu ya tatizo la ajira katika nchi hii.
Ninawajua Makumi ya vijana waliosoma VETA Wengine wakiwa ndugu zangu lakini nao wanalia Ajira Ajira.
Kusoma Veta sio Suluhu la kutatua tatizo la ajira.
Vijana wanakumbwa na matatizo yafuatayo katika ishu ya Ajira (kuajiriwa na kujiajiri)
1. Ukosefu wa Mitaji.
2. Tatizo la mfumo wa kutoza watu Kodi na kurasimisha Kazi za vijana.
3. Tatizo la cheap Labour
Usukule na utumwa kwenye nchi yetu umetamalaki.
Walioajiriwa wanalipwa mishahara isiyoeleweka.
4. Serikali kushindwa kuvamia mataifa mengine.
Tukijifanya waungwana kwa Watu wa nje tutawaonea watu wetu wa ndani.
Tutatesa vijana wetu. Tutawaminya.
Kila siku naimba wimbo huu kuishauri serikali ivamie mataifa mengine yaliyolegelege kwa Maslahi ya vijana wetu.
UVAMIZI ndio Njia pekee ya kuondokana na tatizo la ajira katika taifa letu.
Kazi ya serikali na majeshi yetu ni kuratibu ulinzi na usalama kwa Watu wetu na biashara na maslahi yetu Nje ya Nchi
Waziri Mkuu katika andiko hili nimekutumia wewe kama kiwakilishi wa viongozi wenzako na Kauli yako nimeitumia ili kurudia kilekile ninachokiandikaga.
Vijana hawataki kwenda VETA tena
Vijana hawataki kusoma Tena.
Vijana tayari wanaujuzi
Vijana tayari Wana Elimu
Serikali mmefanya upande wenu kwa sehemu ya Kwanza vijana wakafanya sehemu Yao kwa kusoma Elimu ngazi mbalimbali. Ni zamu yenu serikali kusogeza kete nyingine ili vijana nao wacheze kete Yao ya kuvamia kwingine.
Watu wametoka shule wanaujuzi unataka warudi tena shule. Kwani VETA na Chuo kina tofauti gani?
Ndugu viongozi, nisikilizeni Mimi Mtibeli. Ninachoongea ndio Future yetu. Ndio Nuru yetu ilipo.
Tuifute future yetu
Tuifute Nuru! Nuru iliyo mbele yetu.
Kulinda nchi na mipaka ya Nchi tafsiri yake ni kuvamia wengine ili wasikuvamie.
Huwezi Linda Mipaka ya nchi kwa kukaa tuu nchini mwako. Hivyo ndivyo Watibeli tunavyowaza na kufanya. Tusipaki Basi. Tushambulie
Haya!
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Baada ya mafundi nguo kuwa wengi umekuta hakuna wateja na hao mafundi nguo wamekaa tuu wako unemployed wiki,mwezi nk. Ukichukulia mfano wa mfanyabiashara yeyote Huwa Kila siku anauza?
Mazingira ni relatively Mazuri ndio maana maelfu ya watu wamejiajiri kuanzia shambani Hadi kwenye service sector .Watu wenye formal employment both private and government ni less than 2mln country wide,the rest wamejiajiri which suggest that Kuna mazingira Mazuri kiasi ila inatakiwa yaboreshwe zaidi.
Swala la kuwa na aging population ni fursa Kwa Vijana wetu kama nolieleza kwamba wanahitajika watu wenye skills huko na kwingine kwenye aging population
Kazi haziishi ila ushindani unaongezeka,Wachina wanatafuta fursa kokote tena ambako watu wamelala kama huku Bongo mnakosomea maelezo ya makaratasi ila hamtaki kusomea ujuzi.
Wewe kama unajua eleza ,pia Taja hizo Nchi zilizomaliza unemployment rate Kwa 100%
Ndio naiju Iko kwenye acceptable range kama nilivyosema hakuna Nchi imewahi maliza unemployment kabisa ila itapunguza Kwa viwango vinavyohitajika.Hata huko Canada sio kwamba hakuna ma jobless wapo ila inategemea na fani.
Najua sana Swala la mishahara midogo ni kesi nyingine ni.kuahamisha magoli na kwenye huo huo mishahara hakuna ambae anaacha kazi.
Huna hoja ,skills ni pana sana saizi kuanzia huko kwenye fishery Hadi kwenye Kilimo na Ufugaji.Huko kwingine umeeleza vizuri Kabisa mapungufu ni machache.
Upatikanaji WA passport unajua bado ni kizungumkuti. Rejea upatikanaji wa NIDA Card
Ataachaje Kazi wakati Hana namna nyingine.
Ni nchi gani legelege tunayoweza kuivamia? Kwa mfano DRC ina maslahi ya mataifa mengi. Ukivamia pale utagusa maslahi yao. Ni nchi ipi inafaa kuvamiwa?
Hamnaolote sie ni useless creatures tuu. Tunafikiri kwa kutumia nyashUkiona hivyo ujue kutengeneza tractor Tanzania ni gharama kubwa kuliko kuagiza. Maana yake tractor linalotengenezwa Tanzania litauzwa kwa bei kubwa kuliko tractor linaloagizwa nje ya nchi.
Kama nimeelewa vizuri Mwelekeo wa serikali, ni kuanzisha Chuo kipyq cha kujiajiri na kingine cha kutengeneza ajira...vijana wakapate hizo elimu mbili huko. Elimu kujiajiri, na elimu ya kutengeneza ajira. Kwa mujibu wa mleta mada nikuwa hakuna haja ya mwenye digrii kwenda VETA.Vijana tayari wanaujuzi
Vijana tayari Wana Elimu
degree ni nini mpaka mnajiona mnahadhi sana,Elitism ndio tatizo kuu la uzabaifu kwenye uchumi wetuSalamu ndugu Watanzania!
Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa Watanzania wengi wamesikia Kauli yako ukiwataka Wasomi wenye degree waende sasa VETA wakasome tena.
Ndugu Waziri Mkuu, huenda hujui maumivu ya vijana hawa, na zaidi hujui huzuni walizonazo Wazazi waliowasomesha kwa jasho na damu kwa Miaka ya kutosha.
Kauli yako ipo upande negative zaidi kuliko positive.
Unajaribu kuiambia jamii kuwa Degree kwa sasa haina Dili sio. Unajaribu kusema vyuo vikuu vifungwe.
Unajaribu kusema Wanafunzi waliopo Chuo kikuu na wakufunzi wao wanafanya Kazi bure.
Soma Pia: Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri
Waziri Mkuu, kumwambia kijana akasome VETA sio Suluhu ya tatizo la ajira katika nchi hii.
Ninawajua Makumi ya vijana waliosoma VETA Wengine wakiwa ndugu zangu lakini nao wanalia Ajira Ajira.
Kusoma Veta sio Suluhu la kutatua tatizo la ajira.
Vijana wanakumbwa na matatizo yafuatayo katika ishu ya Ajira (kuajiriwa na kujiajiri)
1. Ukosefu wa Mitaji.
2. Tatizo la mfumo wa kutoza watu Kodi na kurasimisha Kazi za vijana.
3. Tatizo la cheap Labour
Usukule na utumwa kwenye nchi yetu umetamalaki.
Walioajiriwa wanalipwa mishahara isiyoeleweka.
4. Serikali kushindwa kuvamia mataifa mengine.
Tukijifanya waungwana kwa Watu wa nje tutawaonea watu wetu wa ndani.
Tutatesa vijana wetu. Tutawaminya.
Kila siku naimba wimbo huu kuishauri serikali ivamie mataifa mengine yaliyolegelege kwa Maslahi ya vijana wetu.
UVAMIZI ndio Njia pekee ya kuondokana na tatizo la ajira katika taifa letu.
Kazi ya serikali na majeshi yetu ni kuratibu ulinzi na usalama kwa Watu wetu na biashara na maslahi yetu Nje ya Nchi
Waziri Mkuu katika andiko hili nimekutumia wewe kama kiwakilishi wa viongozi wenzako na Kauli yako nimeitumia ili kurudia kilekile ninachokiandikaga.
Vijana hawataki kwenda VETA tena
Vijana hawataki kusoma Tena.
Vijana tayari wanaujuzi
Vijana tayari Wana Elimu
Serikali mmefanya upande wenu kwa sehemu ya Kwanza vijana wakafanya sehemu Yao kwa kusoma Elimu ngazi mbalimbali. Ni zamu yenu serikali kusogeza kete nyingine ili vijana nao wacheze kete Yao ya kuvamia kwingine.
Watu wametoka shule wanaujuzi unataka warudi tena shule. Kwani VETA na Chuo kina tofauti gani?
Ndugu viongozi, nisikilizeni Mimi Mtibeli. Ninachoongea ndio Future yetu. Ndio Nuru yetu ilipo.
Tuifute future yetu
Tuifute Nuru! Nuru iliyo mbele yetu.
Kulinda nchi na mipaka ya Nchi tafsiri yake ni kuvamia wengine ili wasikuvamie.
Huwezi Linda Mipaka ya nchi kwa kukaa tuu nchini mwako. Hivyo ndivyo Watibeli tunavyowaza na kufanya. Tusipaki Basi. Tushambulie
Haya!
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
degree ni nini mpaka mnajiona mnahadhi sana,Elitism ndio tatizo kuu la uzabaifu kwenye uchumi wetu