Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa, hata wakisoma VETA Baada ya kuhitimu wanahitaji aidha mtaji au waajiriwe

Umesema kuntu kabisa. Hata Lucas Mwashambwa kaliona hilo!
 
Sababu ni walimu wabovu
 
umesema ukweli mtupu.shida ni ukosefu wa mitaji ,na muda wa kusatafu kuwa mrefu sana.lizehe lizima la miaka 55 mpaka 60 ,65 liko kazini linafanya nini?

tupunguze muda wa kustafu vijana wapate ajira.wastani wa umri wa kuishi ni miaka 66 ,sasa mtu unakalisha kazini mpaka 60 ili iweje jamani? kwanza efficiency inapungua ndiyo maana utasikia mara faili limepotea kimbe lizee au libibi la miaka 60 liko ofisini halioni tena faili au herufi.let us be realistic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…