coscated JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 3,264 Reaction score 2,676 Jul 9, 2024 #21 HIMARS said: Hadi unajiuliza hivi TISS ipo kweli? Click to expand... TISS ikifanya hizi kazi unamaanisha kitengo cha ukaguzi wa ndani (internal audit) kiondolewe huko kwenye halmashauri?
HIMARS said: Hadi unajiuliza hivi TISS ipo kweli? Click to expand... TISS ikifanya hizi kazi unamaanisha kitengo cha ukaguzi wa ndani (internal audit) kiondolewe huko kwenye halmashauri?
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,858 Reaction score 23,768 Jul 9, 2024 #23 Mzee wa hovyo said: Nimefanya kazi Kilolo kama DMO, kwa huyo DED Mstaafu. Mungu kajibu maombi yangu. Click to expand... Alikufanyaje!?
Mzee wa hovyo said: Nimefanya kazi Kilolo kama DMO, kwa huyo DED Mstaafu. Mungu kajibu maombi yangu. Click to expand... Alikufanyaje!?
Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 12,826 Reaction score 17,371 Jul 9, 2024 #24 gammaparticles said: View attachment 3037824 Click to expand... Kwa kweli kanyamaza kama kastaafu! Ndiyo maana wadau wanasema hizo ni siasa tu, simba lilishang'olewa meno haling'ati, lipo kama halipo.
gammaparticles said: View attachment 3037824 Click to expand... Kwa kweli kanyamaza kama kastaafu! Ndiyo maana wadau wanasema hizo ni siasa tu, simba lilishang'olewa meno haling'ati, lipo kama halipo.