Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa afanya ziara ya kushitukiza bandarini

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa afanya ziara ya kushitukiza bandarini

Pale Bandarini kuna mfumo mpya ulikua unawekwa kwa kuzuia wizi lakini Magufuli alipofariki tu wakaanza kuuhujumu ndio huo unaohujumiwa ili uonekane haufai uondolewe watu waendelee kupiga pesa.

Waziri mkuu hakuna kitu atafanya hapo. Kitakachotokea ni mapendekezo ya kupiga chini huo mfumo halafu walete wa kwao wa kupiga na kukwepa kulipa kodi.

Hii nchi ina safari ndefu sana.
Mfumo gani, uanaitwaje?
 
Umeleta hoja vizuri hapo katikati ukatia hapo upashkuna na ndio umaharibu mada
 
Back
Top Bottom