Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AFU UTAKUTA MLA UGALI SUKARI FULANI KUTOKA BONYOKWA ANAPINGA...WE NANI!!Akizungumza Bungeni leo Juni 1, 2023 Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amewataka Wabunge na Wananchi wote Waiombee Yanga itwae Ubingwa wa CAFCC
Michezo na Ushindi ni Moja ya mambo yaliyomo Kwenye Ilani ya CCM
Source: Ayo TV
Waziri mkuu mwenyewe naamini wazi hajaamanisha kabisaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo ya kuombeana, watu hawawezi kukuelewa
Yani nikuombee, halaf ukishinda uanze kunitambia [emoji1787][emoji119]
🤣🤣🙌🙌Waziri mkuu mwenyewe naamini wazi hajaamanisha kabisaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]