Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Wabunge na Wananchi wote kuiombea Yanga itwae ubingwa wa CAFCC

Angeanza kuomba kabla ya mechi ya kwanza, Umeanza kuzama unakumbuka maombi
 
Sisi tunafata maneno ya wenye timu waliotuambia kwa kiburi na kejeli "Uzalendo pelekeni Taifa Stars".

Huyu Waziri Mkuu alipaswa kukemea kwanza hiyo kauli na kumuelekeza dogo wa upinde wa mvua Ally Kamwe atuombe radhi, ndo aje atusihi tuiombee Yanga.

Huyu dogo alionyesha dharau sana kwa timu ya taifa (Taifa Stars).Ile kauli ni kama alikuwa anawaambia mashabiki wa Simba "Uzalendo wenu kwetu hatuutaki. Tutashinda na kubeba kombe bila support yenu. Kama ni uzalendo pelekeni kwa Taifa Stars ambayo ni timu ya kichovu, isiyo na mbele wala nyuma. Hiyo ndo inahitaji support yenu."

Ally Kamwe aliitukana sana Taifa Stars, sema viongozi wa nchi hii na TFF kwa kuwa hawana akili walishindwa kuijua kile kilichomaanishwa na dogo wa lifestyle iliyopigwa marufuku na kuwekewa adhabu ya kifo Uganda.
 
Akizungumza Bungeni leo Juni 1, 2023 Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amewataka Wabunge na Wananchi wote Waiombee Yanga itwae Ubingwa wa CAFCC

Michezo na Ushindi ni Moja ya mambo yaliyomo Kwenye Ilani ya CCM

Source: Ayo TV
AFU UTAKUTA MLA UGALI SUKARI FULANI KUTOKA BONYOKWA ANAPINGA...WE NANI!!
 
Mambo ya kuombeana, watu hawawezi kukuelewa

Yani nikuombee, halaf ukishinda uanze kunitambia [emoji1787][emoji119]
Waziri mkuu mwenyewe naamini wazi hajaamanisha kabisaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…