Uchaguzi 2020 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa apita bila kupingwa jimbo la Ruangwa. Akabidhiwa barua na Msimamizi wa Uchaguzi

Uchaguzi 2020 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa apita bila kupingwa jimbo la Ruangwa. Akabidhiwa barua na Msimamizi wa Uchaguzi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Waziri Mkuu na Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Ruangwa Ndg Kassim Majaliwa akabidhiwa barua ya kupita bila kupingwa jimbo la Ruangwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Frank Chonya ambaye ni Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Ruangwa, Leo Agosti 25,2020.

Majaliwa.jpg
 
Huyu jamaa ana ka ustaarabu fulani kakuheshimiana. Chadema angalieni kama mnaweza kumpa poo!! Ni mambo ya kiitifaki na kuheshimiana!!
 
Naona wamempa heshima yake mwl. Majaliwa!
 
Mambo yanajirudia Kama miaka iliyo pita. Hakuna cha ajabu kwa sababu Bado mifumo yetu inaongozwa na watu walewale na upinzani nao mbinu zao ni zilezile.
 
Back
Top Bottom