Uchaguzi 2020 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa apita bila kupingwa jimbo la Ruangwa. Akabidhiwa barua na Msimamizi wa Uchaguzi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Waziri Mkuu na Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Ruangwa Ndg Kassim Majaliwa akabidhiwa barua ya kupita bila kupingwa jimbo la Ruangwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Frank Chonya ambaye ni Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Ruangwa, Leo Agosti 25,2020.

 
Huyu jamaa ana ka ustaarabu fulani kakuheshimiana. Chadema angalieni kama mnaweza kumpa poo!! Ni mambo ya kiitifaki na kuheshimiana!!
 
Huyu jamaa ana kaustaarabu fulani kakuheshimiana. Chadema angalieni kama mnaweza kumpa poo!! Ni mambo ya kiitifaki na kuheshimiana!!
Noted Hakuna Namna
 
boss wake anasemaje, maana naye alitaka apite pasipo kupingwa!
 
Naona wamempa heshima yake mwl. Majaliwa!
 
Mambo yanajirudia Kama miaka iliyo pita. Hakuna cha ajabu kwa sababu Bado mifumo yetu inaongozwa na watu walewale na upinzani nao mbinu zao ni zilezile.
 
Huyu jamaa ana ka ustaarabu furani ..ka kuheshimiana...CDM angalieni kama mnaweza kumpa poo!! Ni mambo ya kiitifaki na kuheshimiana!!
ni kawaida kwa watu wa pwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…