Be calm
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 3,766
- 8,959
🤣🤣🙌Hivi kuna bunge
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🙌Hivi kuna bunge
Ova
🤣🤣 Tanzania yetuNimeshanga kumbe kuna bunge
Ova
Ila pasiko bana
?naona siku hzi Kaka Paskal umekuwa kimya, maandishi yaliojaa hekima yamepotea. au wakili wako yuko masomoni?
Hivi hua liko wapi na majukumu yao ni yapiNimeshanga kumbe kuna bunge
Ova
Waziri Mkuu Akijibu Maswali ya Papo kwa Papo, Majaliwa Aulizwa na Upinzani Maswali ya Msingi Ajibu kwa Weledi Sana!
Update....
Waziri Mkuu Ametoa majibu ya matukio ya utekaji yanaendelea
Nataka nieleze kwamba tunapoilinda Nchi ni wajibu wetu Watanzania wote kwa kushirikiana na vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama. Tunavyo vyombo vya Ulinzi na Usalama nchini vyenye jukumu la kupokea taarifa mbalimbali zinazoonyesha uvunjifu wa amani popote pale na jukumu lao wanapokea taarifa ni kuhakikisha wanafanya uchunguzi na uchunguzi utakao baini waliotenda makosa wanachukuliwa hatua kwa kupelekwa kwenye vyombo vya sheria.
Ni wahakikishe Watanzania kwamba suala la Ulinzi na Usalama bado lipo mikononi mwetu pamoja na vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama. Jukumu letu ni kuhakikisha tunasaidia Vyombo vya Ulinzi kwa kutoa taarifa zozote zile ambazo zinaleta tishio la amani katika Nchi ili kuvisaidia vyombo vyetu viweze kuchukua tahadhari na hatua stahiki ili kuwabaini wale wote ambao wana sababisha kutokuwepo kwa amani Nchi yetu.
Lakini pia nitoe wito kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama kuendelea na wajibu wao wa kuhakikisha kwamba kila taarifa inayopatikana lazima ifanyiwe uchunguzi lakini pia nakubaini wale wote wanao husika kama wanapatikana wachukuliwe hatua mara moja.
Majibu ya Waziri Mkuu kuhusu Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya kukamata wananchi bila sababu ya msingi
Amesema ni kweli baadhi ya watala kwenye maeneo yao wanazo sheria ambazo zinawarusu kuhakikisha kwamba hali ya utulivu kwenye maeneo yao inaimalika. Sheria hile inayomruhusu Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa Wilaya kumkamata mwananchi au mtu yoyote yule na kumuweka ndani, haikulenga kama baadhi wanaweza kuwa wanaitumia.
Lengo ni katika kuhakikisha kwamba mazingira hayo usitokee uvunjivu wa amani mkubwa na kwahiyo anaweza kutumia sheria hiyo kumuhifadhi mahali ili hali itulie na baadae aweze kutoka na kuendelea na majukumu yake.
Naona lipolipo tu mkuuHivi hua liko wapi na majukumu yao ni yapi

Anaweza kuwa tishio lipo kwa Mkuu wa Wilaya au Mkuu wa Mkoa mwenyewe anaweza kutumia nafasi hiyo, inaweza jambo hilo kuwa hatari kwa Wananchi anaweza kuitumia nafasi hiyo ili kulinda usalama wa Raia lakini pia hata huyo huyo mwanachi analeta hiyo hoja kulinda usalama wake basi sheria inaweza kutumika kwa yeye kumuondoa eneo lile na kumuhifadhi mahali.
Alitakiwa apige kelele za Mwizi palepale.AMEPOTEA AMEPOTEA AMEPOTEA
Anaitwa GIDEON MLOKOZI MASHANKARA ana umri wa miaka 30,mkazi wa Tabata Segerea,
Kazi yake ni mfanyabiashara wa kuuza magari lakini pia ni mwanaharakati huru wa mitandaoni,hajulikani alipo siku ya saba leo baada ya kutekwa na kupotezwa.
Alitekwa na watu waliojitambulisha kuwa ni askari wa jeshi la Polisi siku ya Ijumaa ya tarehe 02 August 2024 majira ya Saa 2 :00 usiku.
Akiwa katika ofisi ya magari ya rafiki yake inayojulikana kama RAPHAEL STAR iliyopo maeneo ya Segerea Stand.
Watu hao waliojitambulisha kama askari wa Jeshi la polisi walikuwa watano,walivamia ofisi hiyo wakiwa wamevalia kiraia na kumuweka Chini ya ulinzi.
Ndipo alipowahoji waoneshe vitambulisho lakini wakakaidi na kudai wanampeleka kituo cha polisi Tabata,atajua huko huko.
Walitumia nguvu na kumfunga pingu kisha wakamuingiza kwenye gari walilokuja nalo aina ya Landcruiser hardtop, ikiwa haina namba
Lakini mashuhuda waliokuwa nje ya ofisi wanasema,gari hilo halikuwa na namba kwa nyuma ila kwa mbele liliandikwa "STL" tu.
Gari hilo halikuelekea Kituo cha polisi Tabata kama walivosema bali lilielekea njia ya kwenda kinyerezi.
Familia ilianza juhudi za kumtafuta vituo vyote vya Polisi Jijini Dar es saalam bila mafanikio
Tulianza kituo cha polisi Tabata, tukaambiwa hayupo na hawana taarifa zake,Tukaenda kituo cha polisi cha Staki Shari,Kinyerezi na Buguruni pia hawakuwa na taarifa zake
Kesho yake asubuhi tuliendelea na vituo vingine tulianzia Central, Oysterbay na vituo vyote bila Mafanikio
Tumezunguka Hospitali zote jijini Dar es saalam na vyumba vya kuhifadhia maiti "Mortuary" bila Mafanikio.
Tulifungua taarifa kituo cha Polisi cha Staki Shari na kupewa RB namba STK/RB/6642/024
Baada ya siku ya tano bila Mafanikio tumeenda Central polisi kufungua jalada la Uchunguz,tumeambiwa upelelezi unaendelea.
Kwa niaba ya Familia tunaomba mtu yoyote mwenye taarifa kuhusu ndugu yetu awasiliane na Baba yake GIDEON kwa namba 0786878133 au kwa namba ya rafiki yake ambayo ni 0624497811
Asante sana.
yaani unaogopa kuweka nondo humu ya kuikosoa Chadema , au wakili wako yupo masomoni? huwezi kumudu kesi?