Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,668
- 3,751
Majaliwa akitembelea ofisini kwako ni heri angekutembelea Magufuli.
Magufuli alikuwa anatazama upepo , Majaliwa anapekua mpaka nukta na hakuachi.
Kama mabasi yanatushinda vipi ndege!?Kuna clip inazunguka ikimuonyesha kukasirishwa kwa upuuzi wa wale walioaminiwa kuendesha mradi wa mabasi ya mwendo kasi kwa niaba yetu! Nimemuangalia kwa umakini nikagundua pm alukuwa na kuzuni na uchungu mkubwa moyoni kiasi cha kulia kutokana na hujuma walioufanyia mradi wetu huu! Kwa mzigo huu juu ya nchi yake, ninaona nuru kuwa nchi yetu inayo hazina ya viongozi wenye uchungu na nchi yetu! Mh. Majariwa, tunaomba uendelee hivyo hivyo, sisi wenye nchi tunatambua juhudi zako!
Mungu akubariki Mh. Majariwa, Mungu akubariki Mama yetu Samia! Mungu aibariki Tz!
Unazipenda sana hasira!?Kuna clip inazunguka ikimuonyesha kukasirishwa kwa upuuzi wa wale walioaminiwa kuendesha mradi wa mabasi ya mwendo kasi kwa niaba yetu! Nimemuangalia kwa umakini nikagundua pm alukuwa na kuzuni na uchungu mkubwa moyoni kiasi cha kulia kutokana na hujuma walioufanyia mradi wetu huu! Kwa mzigo huu juu ya nchi yake, ninaona nuru kuwa nchi yetu inayo hazina ya viongozi wenye uchungu na nchi yetu! Mh. Majariwa, tunaomba uendelee hivyo hivyo, sisi wenye nchi tunatambua juhudi zako!
Mungu akubariki Mh. Majariwa, Mungu akubariki Mama yetu Samia! Mungu aibariki Tz!
Sadists on freak!Kuna clip inazunguka ikimuonyesha kukasirishwa kwa upuuzi wa wale walioaminiwa kuendesha mradi wa mabasi ya mwendo kasi kwa niaba yetu! Nimemuangalia kwa umakini nikagundua pm alukuwa na kuzuni na uchungu mkubwa moyoni kiasi cha kulia kutokana na hujuma walioufanyia mradi wetu huu! Kwa mzigo huu juu ya nchi yake, ninaona nuru kuwa nchi yetu inayo hazina ya viongozi wenye uchungu na nchi yetu! Mh. Majariwa, tunaomba uendelee hivyo hivyo, sisi wenye nchi tunatambua juhudi zako!
Mungu akubariki Mh. Majariwa, Mungu akubariki Mama yetu Samia! Mungu aibariki Tz!
NonsenseNinaona nuru kuwa nchi yetu inayo hazina ya viongozi wenye uchungu na nchi yetu! Mh. Majariwa, tunaomba uendelee hivyo hivyo, sisi wenye nchi tunatambua juhudi zako!
Nonsense
We ndio sadist maana kitu cha umma unakiiba na kukiterekeza na raia wakiendelea kuteseka wakati ww unafurahia na familia yako!Sadists on freak!!!
Utasikia aaaah, kazi ni ile ile watu wataisoma.
Kwani kazi ya urais ni kuumiza na kusomesha namba watu?
Inaonekana Sadists hamna mood na Samia kabisa, hawapi furaha.
Huyo Majaliwa tangu aanze kuzurula na media anafokafoka, miaka 6 sasa ameshatatua tatizo gani?
Wabongo bana, mtu akiwa anazurula huku anafokafoka kwenye media tayari anafaa kuwa Rais: Majaliwa, Jaffo, Makonda🤣🤣🤣🤣🤣
Unazipenda sana hasira!?
Na sisi wananchi tuna haki ya kufahamu,kama mambo tunayolalamikia yanapatiwa ufumbuzi au S/kali inashughulika nayo vipi.Tunarudi kule kule. Haya mambo si ya kuulizana jukwaani. Angemwita yeye na viongozi wake ili wakae waone tatizo liko wapi. Kama ni uongozi lingeonekana tu.
Na kama ni serikali ingeonekana tu maana Meneja angeweza kusema kweli yake bila kuonekana kuwa anamdhalilisha WM hadharani. Inabidi viongozi wakuu wabadilike.
Amandla...
🤣🤣🤣Wasimamishwe,wawekwe sehemu salama zaidi kuliko nyumbani kwao,wachunguzwe kisha wakibainika walipe
Kweli mkuuWaturejeshee route sisi watu binafsi, watz wengi si wazalendo kwakweli.
Kazi kweli kweli walikuwa wapi muda wote huo.
Majaliwa akitembelea ofisini kwako ni heri angekutembelea Magufuli.
Magufuli alikuwa anatazama upepo , Majaliwa anapekua mpaka nukta na hakuachi.
Majaliwa akitembelea ofisini kwako ni heri angekutembelea Magufuli.
Magufuli alikuwa anatazama upepo , Majaliwa anapekua mpaka nukta na hakuachi.