Waziri Mkuu Kassim Majaliwa avamia mwendokasi, ahoji mapato yalipo kama wanashindwa kununua mabasi. Mkurugenzi wa fedha atumbuliwa

Yule dogo si bado ananyea kwenye ndoo au alishachomoka?
 
That was a black mark kwa WM.
Inabidi aombe radhi kinamna ili asionekane ana kitu cha kuficha.
Otherwise ataaminikaje akiongea mambo mazito?
 
Mradi wakikaa vibaya unazikwa kabisa maana hadi sasa umekufa.

Haiwezekani mradi uwe wa gari zile zile tena zimechoka kiasi hicho na ukasema mradi bado upo hai.

Gari zimeanza kuwaka sehemu tofauti tofauti.

Zile gari zinatakiwa kuwa-replace kabisa.

Faida kubwa wanasahau gharama za maintenance na replacement ya gari mpya.
 
Bus zilizizopo barabarani hata 30 azifiki, hao jamaa uswahili mwingi biashara hawaiwezi,waporwe huo mradi haraka
 
Mradi wakikaa vibaya unazikwa kabisa maana hadi sasa umekufa.

Hahiwezekani mradi uwe wa gari zile zile tena zimechoka kiasi hicho na ukasema mradi bado upo hai..
Tungekuwa serious; Nyumbu ilitakiwa iwe ndio supplier and maintainer wa mabasi ya mwendokasi. Tungekuwa tumekuza uchumi wa ndani; ajira kwa watanzania; na kuongeza uwezo wa teknolojia.

Tunawaza tu kuagiza kutoka nje; hatuwazi ku-innovate na kuwa na vya kwetu no matter how ugly they might be, but gradually will be improved to modern ones!
 
Mtajuaje kuwa wao ni 'watetezi wa wanyonge'. In reality nyuma ya pazia ni waonevu na wala mali za wanyonge.
 
Wakipewa kesi ya kuhujumu uchumi Myika anapinga, watu wanaweka hela mfukoni na mradi unakufa alafu nyumbu wanataka tuwabembeleze kuweka mfumo?
 
Oh yes well said my friend!!!

Hizo ndo watu hawazitakagi mpaka inapelekea watu wengine i.e reasonable people waone kama ni usanii vile kwa viongozi wetu kwa kuvamia mahali bila sababu ya msingi na kuzua taharuki kwa watu wasiohusika, this is old paradigm way of managing things/people!! - haya ni mambo ya kizamani.

Mkuu wetu mpendwa kwasababu an taarifa zote kuhusu hiyo kampuni, alitakiwa awaite viongozi wa kampuni hiyo ofisini kwake and then wayajadili badala ya kuwavamia, hiyo sio site ya ujenzi!!

Tubadilike, asante!
 
LEO NIMEPANDA MOJA
DEREVA ANASHUKA ANAENDA KUCHOCHEA KULE NYUMA NDO INACHANGANYA
 

Safi Mh Majaliwa, usafiri wa mwendokasi route ya Kimara-Mbezi ni changamoto sana, mabasi hayatoshi.

Changamoto nyingine madereva huwa wanavimba sana anaweza kafika kituoni akapaki gari tu ,kituo cha mwendokasi unakaa nusu saa nzima unasubiri basi lije halafu pembeni kuna mmabasi kama matano yamekaa tu madereva wamepumzika ,ni chngamoto sana.
 
Hakuna kitu ambacho serikali ya CCM imewahi fanikiwa na hii tabia ya kufanya biashara italeta hasara daily
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…