Waziri Mkuu Kassim Majaliwa avamia mwendokasi, ahoji mapato yalipo kama wanashindwa kununua mabasi. Mkurugenzi wa fedha atumbuliwa

Bora umeung'amua huo usanii wa kiutendaji. Siku zote ukiona tatizo la kiutendaji linatatuliwa kwenye makamera, usitegemee ufumbuzi hapo zaidi ya kusaka kick. Halafu huwezi kuamini, subiri itokee huyo waziri Mkuu abadilike aje mwingine, utashangaa na yeye atakuta tatizo ni hilo hilo, na usishangae na yeye akitumia mbinu hiyo hiyo ya kick.
 

Ww ni wale mliokuwa mmeshiba propaganda kuwa mambo wakati wa Magufuli yalikuwa mazuri. Hilo tatizo la ticket na hayo mabasi lilianza juzi baada ya Magufuli kufariki? Waziri Mkuu alikuwa huyo huyo aliyeenda kusaka kick. Na kwa taarifa yako hapo utakuta tatizo ni la serikali, ila huyo PM anaenda kusaka cheap popularity.
 
kwani mwenda zake alipo zindu kwa mara nyingine hizo changamoto hakuzipewa?
 
Kazi ipo.. ameongea kama kutafuta sababu ya kufungua muwanya.. pale hakuna mtu alikuwa anakula.. sasa wanabataka kufungua muwanya wale.. kwanini anamuhoji mkuu na kusimamia miundombinu ya mabasi yanapopita.. na sio mkuu wa ile kampuni binafusi? Viongozi wasiopiga pesa.. wanawakati mugumu sana sababu tu habaibii serikali na kuruhusu pesa ya mwananchi kuibwa..
 
Mwendo kasi inaendeshwa kwa hasara alisema bro kindamba mtu mzito apo sababu ya politics issues
 
Let me be the devil's advocate for a minute.

Viongozi wanataka wananchi muone wanafanya kazi mlizowatuma, muone hawakai bure tu na kuachia ubadhirifu ukiendelea.

Mumuone PM Majaliwa anawapigania wananchi wa Kimara.

Na mkiona wanafanya kazi hizi mlizowatuma ndiyo mtapata nguvu ya kuibua madudu zaidi wasaidie kusafisha.
 
Mkuu hii lafudhi yako imenichekesha sana, umeongea kama mtu aliyebanwa na mafua [emoji23][emoji23]
 
Kiki kiki kiki mpaka kwa viongozi wa juu
 
Kampuni hiyo kama imeshindwa, si watoe tenda wenye pesa waingie? Kuwe na furaha na amani kama kupanda mabasi ya wenzetu Ulaya.
Usafiri utafikiri unatokea mwembe tongwa

Ova
 
Unafikiri hapo ndiyo ameshatatua matatizo
Mzee...

Ova
 
Hii ni ili iwe fundisho kwa mameneja wengine. Excellent. Nchi yetu inahitaji sana aina hii ya ufuatiliaji na ukali
 
If you are not competent acha tukujue ili ukija mtaani tusikupe usimamizi.. uwe unatumwa maana ndio uwezo wako

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…