Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ni mchapakazi na mzalendo, aungwe mkono

Uwaziri mkuu ni Cheo Cha juu sana, naamini HATOGOMBEA ubunge tena.

Mtie moyo sasa Ili alitumikie Taifa vizuri Kwa muda uliobaki.
Haya ngoja nimtie Moyo Mhe! Majaliwa

Majaliwa Khasim Majiliwa wewe ni mtu na nusu kazi zako ni nzuri na za kizalendo zinaonekana.
Nakutakia kila la kheri kwenye ndoto zako kubwa
 
Yule mzee kwa kweli anapambana sana tuache unafiki anafika sehem anakuta watu wamekula pesa na yy hana mamlaka ya kuwafukuza kazi anabaki kujiongelesha tu na kuumia tu na akimaliza huyo huyo mtu anakuta tena kahamishwa kapelekwa sehem na mamlaka za uteuzi anabaki kjimya tu lakini kwa wale wako chini yake wanaisoma namba.Kuna watu wangekaa pale juu hii nchi ingenyooka .mfano Rais majaliwa Pm awe makonda vice prezda awe polepole au ally hapi viabaka wangezijamba hela zetu.
 
Tunahitaji mabadiliko ya kimfumo tupate Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi.

Majaliwa ametuthibitishia Uzalendo na uchapakazi wake akiwa katika mfumo corrupt.

Abarikiwe.
 
Pesa ikishaliwa hairudi wala haiwezi kujambwa,
Angekuwa anapambana angehakikisha kwanza kuna mfumo bora ambao pesa za umma haziwezwi kuchepushwa kirahisi.
Hizo za kufokea, kufukuza na kuhamisha watu mara nyingi ni mbwembwe tu kama pesa za umma zinaweza kuliwa kirahisi.
 
Habari ya mjini ni makonda. Waziri mkuu tumeshamsahau. Huwa anafokaga tu lakini hafatiliagi. Akifoka akaonekana kwenye tv basi kwake ni furaha baada ya hapo Hana mda tena
 
Kuna wanajaribu au wametumwa kumhujumu majaliwa ili 2025 asijitokeze. Wanajua yeye ndiye chaguo kuendeleza kazi ya jpm
 
Habari ya mjini ni makonda. Waziri mkuu tumeshamsahau. Huwa anafokaga tu lakini hafatiliagi. Akifoka akaonekana kwenye tv basi kwake ni furaha baada ya hapo Hana mda tena
Mamlaka yake huyo kijana,yapo ibara ipi katika KATIBA YA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA?
 
Kuna wanajaribu au wametumwa kumhujumu majaliwa ili 2025 asijitokeze. Wanajua yeye ndiye chaguo kuendeleza kazi ya jpm
Ya 2025 ni Majaaliwa!!

Ingawa historia inatuonyesha Mbali na Nyerere, hajawahi tokea PM akawa Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…