Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ni msafi kisiasa; Hana kashfa ya rushwa; anaaminika zaidi na wananchi/dola. Je, tupo tayari kuona mafisadi wanamstafisha?

Ni muongo wa kuzaliwa, congenital liar. Alisema Rais yuko busy anapiga kazi, mnataka mumuone wapi, soko la Magomeni Mwembechai ?

Kumbe Rais kashanyooka. Tena kaongopea msikitini, Astakafullulillah ladhim!
Kila kitu kina sababu..
Kuna uwongo wa faida...
 
Sure nimemuona anafaa kuwa Rais wa Tanzania
 
Ni muongo wa kuzaliwa, congenital liar. Alisema Rais yuko busy anapiga kazi, mnataka mumuone wapi, soko la Magomeni Mwembechai ?

Kumbe Rais kashanyooka. Tena kaongopea msikitini, Astakafullulillah ladhim!
Kila kitu kinasababu yake
 
Intelijensia ilimlazimu aseme Rais yu hai Ili kulitayarisha Taifa.Mbona hata Mkapa alichelewesha demice ya Mwalimu?Ni kweli PM hajasikika ni fisadi kama alivyo Tundu Lisu wa CDM

Hakuna intelijensia ya kishamba namna hio, Ukweli unabaki kuwa ukweli tu hata ufanye kuupuza still utakuwa pale unakusubiri kukuonyesha ni jinsi gani ulivyo mpumbavu na hicho ndicho kilichotokea.

Angekaa kimya kulikuwa hakuna haja ya kuzungumzia jambo hilo msikitini alitakiwa kufanya jambo lililompeleka humo hawakumuita ili aongelee hali ya rais mule ndani.

Kifupi PM angekomaa tu na taaluma yake ya uwalimu na ukocha huku kwenye siasa wapo kupiga pesa tu na ndo hivyo wakishaongia wanajikuta kwa bahati tu wanapata vyeo visivyo na hadhi zao.

Fuatilia uwezo wake kwenye mambo makubwa akiyazugumzia kama bandari na wakati wa mpito wa 2021 unaona kabisa huyu kuna nafasi kapewa kwa kubahatisha tu na si uwezo
 
Aliyeongopa siyo KASSIM Majaliwa, aliyeongopa alikuwa Waziri Mkuu katika kutekeleza majukumu yake ya kazi.

Hapa tunamjadili Mwalimu Kasim Majaliwa

Ni muongo tu yule Hana jipya. Mara mnataka aende Kariakoo. Yule hakufaa kuwa kiongozi kwa uongo ule.
 
Sikujua kumbe majaliwa ana chawa.
 
We ulitaka atoe taarifa kuwa Rais kafariki msikitini. Kumbuka katiba ya JMT inamruhusu makamu wa Rais kufanya hivo. Be positive Brother.

Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app

Kwa hivyo katiba inaruhusu Waziri Mkuu kusema uongo?. Huyo ni muongo tu, umesahau issue ya vitenge.
 
Intelijensia ilimlazimu aseme Rais yu hai Ili kulitayarisha Taifa.Mbona hata Mkapa alichelewesha demice ya Mwalimu?Ni kweli PM hajasikika ni fisadi kama alivyo Tundu Lisu wa CDM

Punguza unafiki, uzi wa Waziri mkuu unamtaja Lissu. Ni lini Lissu amekuwa kiongozi wa serikali?. Waziri Mkuu anakashfa ya kumlinda mwanaye kwenye scandal ya vitenge ya mama Bonge.
 
Unapima upepo au unatania ndugu yangu...?
 
Yuko makini sana nafuraishwa na utendaji wake, anafaa kuwa Rais wa nchi.Hababaishwi, hajivuni, anajua anachofanya.Kutoka kwa Magu kwenda kwa Samia tungesikia mengi lkn yeye kimyaa utadhani hakukwazika, kifua chake ni kipana sana.

Amepwaya sana mpaka kaletewa Naibu Waziri Mkuu.
 
Anaifaa Tanzania 2025, ana uthubutu,makini na Hana mchezo na wabadhirifu. Huyu angekuwa na full power Watanzania msingejuta kama sasa hivi

Hakuna anayefaa CCM. Wameuza bandari na kutimua maasai Ngorongoro.
 
Ni muongo wa kuzaliwa, congenital liar. Alisema Rais yuko busy anapiga kazi, mnataka mumuone wapi, soko la Magomeni Mwembechai ?

Kumbe Rais kashanyooka. Tena kaongopea msikitini, Astakafullulillah ladhim!
Naamini kabisa kama Kassim angejua Magufuli keshafariki asingekubali kudanganya kijinga vile huku akijua within few days ataumbuka,kuna uwezekano hata yeye alikuwa anaongea asilolijua
 
Huyu ndio alifaa kuwa makamu wa Rais kama sio Rais wa nchi.

Makamu wa Rais ana cheo kikubwa ila Hana madaraka. So huyo Majaliwa wenu angekuwa ni wa kufungua warsha na makongamano anarudi kulala nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…