Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kwa hiyo fisadi ni huyu mwenyekiti wa chama peke yake?😁😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ukweli hapaAliyeongopa siyo KASSIM Majaliwa, aliyeongopa alikuwa Waziri Mkuu katika kutekeleza majukumu yake ya kazi.
Hapa tunamjadili Mwalimu Kasim Majaliwa
Huu ni ukweli mchunguIntelijensia ilimlazimu aseme Rais yu hai Ili kulitayarisha Taifa.Mbona hata Mkapa alichelewesha demice ya Mwalimu?Ni kweli PM hajasikika ni fisadi kama alivyo Tundu Lisu wa CDM
Toa utaahira wako hapa1. Mzee Kassim Majaliwa ni kiongozi ambaye hana tuhuma za rushwa ndani ya chama cha mapinduzi.
2. Ni kiongozi anayetambua Tanzania ina wimbi la ufukara jambo linalopelekea yeye kuogopa kujilimbikizia mali.
3. Hana makundi ya kisiasa ndani na nje ya chama. Hakuna mtandao, chawa wala kunguni wa majaliwa
4.Amesimama na wote wanaodai haki na maslahi mazuri kwa umma
5. Ana kiu yakuwaadhibu wabadhirifu ila mabosi wake wanamfunga speed gavana.
6. Ana nafsi ya kumcha Mungu
7. Anatamani sana kuwaletea watanzania katiba mpya kabla ya kustaafu siasa ila wanaomzunguka kwa kuwa haki kwao ni kikwazo anakwama kwenda mbele
8. Anajipa muda wa kusikiliza na anapotoa maamuzi uzingatia sheria, kanuni na taratibu kukwepa kuwaumiza wasio na hatia
9. Intelijensia yake inamsaidia sana kuwa na taarifa sahihi wakati sahihi. Ametengeneza mashushushu wanamjaza ukweli siyo kumdanganya. Anaaminika sana na kuheshimika na mifumo ya dola.
10. Kwake madaraka ya Waziri Mkuu si kitu kikubwa; yupo tayari kustaafu siasa kuliko kugombania madaraka kwa rushwa, ushirikina au namna nyingine ya dhuluma.
Je, unamshauri akuze ndoto yake ya kuwa Rais wa Yanzania au awaachie wenye mitandao ya royal families watutawale kwa dhuluma?
Unaamini atavuka vita ya watesi wake kisiasa? Kumbuka awali walipotaka atumbuliwe walisambaza habari kwamba alitaka mama asiwe Rais.......leo wamemtengenezea msaidizi.....kesho watamshinikiza afuate nyayo za Ndugai kummaliza kisiasa.
Zungumza na waziri Mkuu kwa kumshauri uwezavyo kuhusu kesho yake kisiasa
Kwa sababu anafanya kazi chini ya watu ambao ni wabovu.hana uhuru wa kufanya kaziUrais wa Nini?. Kapwaya mpaka kaletewa Naibu Waziri Mkuu.