Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ni msafi kisiasa; Hana kashfa ya rushwa; anaaminika zaidi na wananchi/dola. Je, tupo tayari kuona mafisadi wanamstafisha?

Kwa hiyo fisadi ni huyu mwenyekiti wa chama peke yake?😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
Anafaa kwa 2025 ajirekebishe kwenye maamuzi magumu yenye maslahi kwa Taifa, atoe msimamo wake kuhusu Ngorongoro, bandari na miradi mikubwa isioisha muda.
 
Toa utaahira wako hapa
 
Hakuna mtawala yoyote ndani ya ccm alie msafi hata kidogo, hayupo kamweee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…