Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ninakuomba sana gombea urais wa Tanzania

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
3,891
Reaction score
8,448
Kila mtanzania akichangia elfu 2 tu tutapata pesa ya kutosha kuendeshea na kununulia mashine za kisasa kuweza kuendesha bandari yetu badala ya kuwauzia warabu milele.

Watanzania walioaminishwa na Hayati Magufuli kwamba wanaweza na nchi yao ni tajiri na wakaanza kujenga miradi ya matrillioni ya fedha kama ndege, SGR, bwawa la umeme, kuhamia Dodoma, elimu bure, madaraja marefu Afrika Mashariki na ya kati etc, ghafla sasa upepo umebadilika viongozi wote wanahubiri watanzania hawawezi na hawajiwezi kwa lolote kabisa!

Bunge linasema kila kitu kipitishwe kwa sababu watanzania hawana uwezo wa kifedha wala akili ya kuendeleza miradi mikubwa kama ya bandari.

Wapo pia wanasema hata taasisi za bunge na urais nazo zibinafisishwe ili ziweze kutoa matokeo chanya na ya haraka kwa wananchi.
 
"Watanzania walioaminishwa na Hayati Magufuli kwamba wanaweza na nchi yao ni tajiri na wakaanza kujenga miradi ya matrillioni ya fedha kama ndege, SGR, bwawa la umeme, kuhamia Dodoma, elimu bure, madaraja marefu Afrika mashariki na ya kati etc,"

kumbe zilikua fix sio????
 
Tatizo freemason washaiteka serikali yote achana nao sisi tunasubiri Mungu atupe kiongozi Shupavu na shujaa.

Freemason is real ndugu zangu
 
IMG_20230615_103626.jpg
 
Sio kwamba Polepole ndie agombee uraisi kwa hii speech adhim.

Hizi chokochoko za kumuhusisha Majaliwa na urais mtaishi kumponza Mzee wa watu apigwe chini.

Mwisho wa siku atachukuliwa kama tishio kwa watawala kiasi cha kumuundia zengwe kama Lowasa.

Muacheni Majaaliwa aamue kwa utashi wake mwenyewe kugombea na sio kwa shinikizo la watu.
Akipigwa chini ndiyo anagombea vizuri
 
"Watanzania walioaminishwa na Hayati Magufuli kwamba wanaweza na nchi yao ni tajiri na wakaanza kujenga miradi ya matrillioni ya fedha kama ndege, SGR, bwawa la umeme, kuhamia Dodoma, elimu bure, madaraja marefu Afrika mashariki na ya kati etc,"

kumbe zilikua fix sio????
Utakuwa kilaza. Hujui Tz ni tajiri. Hakika fisiemu wanapenda akili ndogo kama za huyu.
Nchi ina Bandari nyingi, Mbuga, Migodi ya madini ardhi viwanja vya ndege, Amani,akili yako fupi kuona
 
Kila mtanzania akichangia elfu 2 tu tutapata pesa ya kutosha kuendeshea na kununulia mashine za kisasa kuweza kuendesha bandari yetu badala ya kuwauzia warabu milele.

Watanzania walioaminishwa na Hayati Magufuli kwamba wanaweza na nchi yao ni tajiri na wakaanza kujenga miradi ya matrillioni ya fedha kama ndege, SGR, bwawa la umeme, kuhamia Dodoma, elimu bure, madaraja marefu Afrika Mashariki na ya kati etc, ghafla sasa upepo umebadilika viongozi wote wanahubiri watanzania hawawezi na hawajiwezi kwa lolote kabisa!

Bunge linasema kila kitu kipitishwe kwa sababu watanzania hawana uwezo wa kifedha wala akili ya kuendeleza miradi mikubwa kama ya bandari.

Wapo pia wanasema hata taasisi za bunge na urais nazo zibinafisishwe ili ziweze kutoa matokeo chanya na ya haraka kwa wananchi.
Kinachotakiwa kwa sasa ni Upatikanaji wa Katiba mpya itakayotokana na fikra, maoni, mitazamo na mawazo ya Watanzania wengi zaidi, wala siyo mtu Fulani agombee nafasi ya uongozi
 
Miradi yooote ile ya matrlion iliyoanzishwa na tumeendelea nayo, eti leo tunaambiwa kuiendesha Bandari tu hatuwezi

Huku ni kutudharau watanzania
 
Kila mtanzania akichangia elfu 2 tu tutapata pesa ya kutosha kuendeshea na kununulia mashine za kisasa kuweza kuendesha bandari yetu badala ya kuwauzia warabu milele.

Watanzania walioaminishwa na Hayati Magufuli kwamba wanaweza na nchi yao ni tajiri na wakaanza kujenga miradi ya matrillioni ya fedha kama ndege, SGR, bwawa la umeme, kuhamia Dodoma, elimu bure, madaraja marefu Afrika Mashariki na ya kati etc, ghafla sasa upepo umebadilika viongozi wote wanahubiri watanzania hawawezi na hawajiwezi kwa lolote kabisa!

Bunge linasema kila kitu kipitishwe kwa sababu watanzania hawana uwezo wa kifedha wala akili ya kuendeleza miradi mikubwa kama ya bandari.

Wapo pia wanasema hata taasisi za bunge na urais nazo zibinafisishwe ili ziweze kutoa matokeo chanya na ya haraka kwa wananchi.
Duh!
Yaani wewe lile shetani lenu la Chato linakutesa mpaka basi.
Ukilala unaota Chato, ukitembea unawaza MunguMtu wenu. Fungua tu kanisa la kumwabudia na kumsifu.
 
Back
Top Bottom