Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ninakuomba sana gombea urais wa Tanzania

Utakuwa kilaza. Hujui Tz ni tajiri. Hakika fisiemu wanapenda akili ndogo kama za huyu.
Nchi ina Bandari nyingi, Mbuga, Migodi ya madini ardhi viwanja vya ndege, Amani,akili yako fupi kuona
Sidhani kama hata umeelewa maana ya mie kuquote maneno yake....karibu tena
 
Kila mtanzania akichangia elfu 2 tu tutapata pesa ya kutosha kuendeshea na kununulia mashine za kisasa kuweza kuendesha bandari yetu badala ya kuwauzia warabu milele.

Watanzania walioaminishwa na Hayati Magufuli kwamba wanaweza na nchi yao ni tajiri na wakaanza kujenga miradi ya matrillioni ya fedha kama ndege, SGR, bwawa la umeme, kuhamia Dodoma, elimu bure, madaraja marefu Afrika Mashariki na ya kati etc, ghafla sasa upepo umebadilika viongozi wote wanahubiri watanzania hawawezi na hawajiwezi kwa lolote kabisa!

Bunge linasema kila kitu kipitishwe kwa sababu watanzania hawana uwezo wa kifedha wala akili ya kuendeleza miradi mikubwa kama ya bandari.

Wapo pia wanasema hata taasisi za bunge na urais nazo zibinafisishwe ili ziweze kutoa matokeo chanya na ya haraka kwa wananchi.
Je atapewa hiyo option?
 
Bora hata Sa100 kuliko huyo
 
Kupitia chama gani? Maana kile cha ChukuwaChakoMapema hatapita, labda aruhusiwe kama mgombea binafsi au kupitia kipya cha Wadanganyika 😠😡🤬
Tumekwisha kabisa. Tujiokoe Kwa kweli...
 
Hatutaki kusikia habari za Urais kabla ya KATIBA mpya.

Haiwezekani tuchague kiongozi aende kuuza Bandari zetu.

Tuondoe Kinga Kwa Rais, Spika nk nk wote washtakiwe na wafungwe ikithibitika bila shaka ikiwa wamekiuka Katiba iliyopo na miiko ya uongozi.
 
Bila shaka ujumbe ulimuingia, anatekeleza agenda 2030 ya WEF.
Jiulize swali moja yeye ni rais wa Nchi masikini amefahamiana vipi na Klaus Schwab au rothchilds ambao ni freemason. Anyways wasaliti hawa hapa
 
Attachments

  • IMG_20230616_153539.jpg
    IMG_20230616_153539.jpg
    85.3 KB · Views: 5
Jiulize swali moja yeye ni rais wa Nchi masikini amefahamiana vipi na Klaus Schwab au rothchilds ambao ni freemason. Anyways wasaliti hawa hapa
Hahaha....hilo zee Klaus Schwab lipo kama zezeta vile, huwa nasoma kwenye page yao hayo mambo wanayopanga kwenye hiyo 4th revolution hasa wanachoita internet of bodies na sijui digital IDs unaona wazi kabisa wanajipanga kufanya hujuma kwa ubinadamu. Kwamba watu hawatamiliki chochote, watakula wadudu na wataishi kwa furaha...​
 
Mara nyingi wanakuwa wako possessed na devil ona kama joe biden hahaha
 
Kila mtanzania akichangia elfu 2 tu tutapata pesa ya kutosha kuendeshea na kununulia mashine za kisasa kuweza kuendesha bandari yetu badala ya kuwauzia warabu milele.

Watanzania walioaminishwa na Hayati Magufuli kwamba wanaweza na nchi yao ni tajiri na wakaanza kujenga miradi ya matrillioni ya fedha kama ndege, SGR, bwawa la umeme, kuhamia Dodoma, elimu bure, madaraja marefu Afrika Mashariki na ya kati etc, ghafla sasa upepo umebadilika viongozi wote wanahubiri watanzania hawawezi na hawajiwezi kwa lolote kabisa!

Bunge linasema kila kitu kipitishwe kwa sababu watanzania hawana uwezo wa kifedha wala akili ya kuendeleza miradi mikubwa kama ya bandari.

Wapo pia wanasema hata taasisi za bunge na urais nazo zibinafisishwe ili ziweze kutoa matokeo chanya na ya haraka kwa wananchi.
ameshakuwa PM kwa miaka 10, 2025 atastaafu bado mdogo kabisa. although mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, PM ni mtu ambaye huwa anasikiliza sana wananchi, kwa mbaali bado ana character za mwendazake za kuwajali watu wa chini na kupambana na mafisadi.
 
Kila mtanzania akichangia elfu 2 tu tutapata pesa ya kutosha kuendeshea na kununulia mashine za kisasa kuweza kuendesha bandari yetu badala ya kuwauzia warabu milele.

Watanzania walioaminishwa na Hayati Magufuli kwamba wanaweza na nchi yao ni tajiri na wakaanza kujenga miradi ya matrillioni ya fedha kama ndege, SGR, bwawa la umeme, kuhamia Dodoma, elimu bure, madaraja marefu Afrika Mashariki na ya kati etc, ghafla sasa upepo umebadilika viongozi wote wanahubiri watanzania hawawezi na hawajiwezi kwa lolote kabisa!

Bunge linasema kila kitu kipitishwe kwa sababu watanzania hawana uwezo wa kifedha wala akili ya kuendeleza miradi mikubwa kama ya bandari.

Wapo pia wanasema hata taasisi za bunge na urais nazo zibinafisishwe ili ziweze kutoa matokeo chanya na ya haraka kwa wananchi.
Ili agombee urais inabidi kwanza akapewe semina na wazee wafuatao
1. Malecela
2. Msuya.
3. Pinda
4. Dr. Salim Ahmed Salm .
Kisha kama atakuwa hajaelewa atagombea kama ulivyomuomba.
 
Back
Top Bottom