Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Ni ngumu sana kwa PM kujua hapo atakua kaambiwa aweke mambo sawa ila anaeweza kujua for sure ni vipi kutokana na nafasi yake.

Vipi ndio angesema tungemuamini zaidi kuliko Waziri.
 
Kifo unachomuombea mwenzio chaweza kukurudia mwenyewe

Maendeleo hayana vyama
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Rais wetu John Pombe Joseph Magufuli [emoji173][emoji1241][emoji106][emoji111][emoji120]
Ameen tena hiii skendo isiwe ua kweli
 
Kwani siku zote mlikuwa wapi kusema kuwa anaumwa?

Kuficha taarifa kwa sababu ya hofu na kutojiamini ni taswira mbaya kwa Taifa
 
Na uzee wangu huu sijawahi kuona waganga njaa kwa jina la upinzani wamekaukiwa na tetesi. Hebu fikiria upepo umeanzia Nairobi, India, Mloganzira na sasa utasikia, "wamechonga mwingine huyu wetu alitwaliwa mbinguni."
 
Na uzee wangu huu sijawahi kuona waganga njaa kwa jina la upinzani wamekaukiwa na tetesi....hebu fikiria upepo umeanzia Nairobi, India, Mloganzira na sasa utasikia, "wamechonga mwingine huyu wetu alitwaliwa mbinguni..."
📌📌📌📌nitaludi kukujibu mkuu
 
Kabisa mkuu,ile habari niliipuuza mapema asubuhi tu,kwanza mtu yupo ulaya halafu anasema rais wa tanzania haonekani,ki vipi? Pumbavu kabisa lissu
We ndio mtu mjinga kabisa humu.
Sasa niambie kaonekana?
Hi wiki ya ngapi? Hajaonekana?
Ni haki yet kujua muda Ni mrefu Sana.
 
We ndio mtu mjinga kabisa humu.
Sasa niambie kaonekana?
Hi wiki ya ngapi? Hajaonekana?
Ni haki yet kujua muda Ni mrefu Sana.
Umeambiwa na waziri mkuu rais yupo anaendelea na majukumu yake Ikulu...unabisha sasa? Au kwakuwa majibu haya ni tofauti na yale uliyolijazwa na kuumuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…