lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Umeamini uongo huo?Inamaana hata Lissu anatuingiza Kingi sasa ni bora tujali kuhusu maisha yetu huyu mzee huenda keshanunua Pegasus anatuchora tu mimi najitoa kwenye huu mkumbo...
Yuko likizo ya pasaka Burigi.Haya Balozi Lissu Amsterdam alishakuambia yuko India/China mwambie akupe updates za huko!!
Huyo ni dada yake gwajima anfanfiroKwani we ushawahi kumuombea nani Kifo halafu ukafa!?
Katuzoeza walau Mara moja kwa wiki lazima tumuone kwenye vyombo vya habari,Ni lazima aonekane hadharani kila baada ya muda gani kwani?
Bado amani haipo.... mzee anatakiwa aseme neno.Waziri mkuu kamaliza mjadala, tuendelee kumuombea Raisi wetu aendelee kuchapa kazi kuwatumikia Watanzania ,Tuache kusiliza maneno ya wasaliti wa nchi yetu ambao wamekimbilia huko ulaya washindwe na walegee
TL hakuoji tu, alisema pia alipo na akatoa update. If he was wrong atakuwa kajishushia heshima sana endapo raisi ni mzima.Lisu hajaingizwa Chaka Mzee,Lisu kahoji you wapi jiwe?
Kwamba hajaonekana 2 wiks.na Leo Ni wiki ya tatu.
Je wewe umemwona Rais.
Lisu kahoji.
You wapi jiwe?
Hoja ya lisu haijajibiwa.
Na ikitangazwa kuwa amekufa wewe na PM wako tukafanye nini??yupo yupo wapi?? Majibu yenu ya kipuuzi huko huko lumumba kenge nyinyiUmeambiwa na waziri mkuu rais yupo anaendelea na majukumu yake Ikulu...unabisha sasa? Au kwakuwa majibu haya ni tofauti na yale uliyolijazwa na kuumuka?
Majaliwa kama vile ka-panic.Kwani magomeni hatakiwi kwenda!?
Kufa mkuu kila mtu atakufa, ogopa Sana kujaza mawazo yako vitu HASI, kila neema, dhambi, utajiri, umakini, nk huanzia mawazoni mwetu....kufa kwa mtu yoyote hakuongezi wala kupunguza kitu kwangu au kwako...hapo ulipo unajua utakufa Sana ngapi?Na ikitangazwa kuwa amekufa wewe na PM wako tukafanye nini??yupo yupo wapi?? Majibu yenu ya kipuuzi huko huko lumumba kenge nyinyi
Wewe jamaa huwa unajiona una akili Sana lkn sivyo.Ngosha anapiga zake mahindi ya kuchemsha huku watu wanahaha na uzushi [emoji38]
Dah! Hawezi kufa? Umejuaje kama bado kuna kazi hajamaliza?Hawezi kufa. Unakufa kama huna kazi za kufanya, huyu hajaimaliza kazi bado.
Una akili Sana we jamaa.Serikali ya Kenya isingekubali magazeti yake yatumike.
Waliyaacha yaseme sababu ni kweli.
Afu pia jua kuwa lazima hayo magazeti yaliulizia serikalini kama ni kweli au la
Kama ana akili ataelewaKufa mkuu kila mtu atakufa, ogopa Sana kujaza mawazo yako vitu HASI, kila neema, dhambi, utajiri, umakini, nk huanzia mawazoni mwetu....kufa kwa mtu yoyote hakuongezi wala kupunguza kitu kwangu au kwako...hapo ulipo unajua utakufa Sana ngapi?
Gazeti linaandika news kulingana na source. Sasa wamejitia kitanzi cha kumwamini Mr Mzungu ndipo balaa limeanzia hapo la kushindwa ^kuwaingiza chuo cha hakika^Una akili Sana we jamaa.
Na kwa kuongezea magazeti hayo husomwa dunia nzima,hivyo kwa kuandika vitu feki kwa lengo la kupotosha yatapoteza heshima na kuaminika kwake.hivyo yasingekua Tayari kurisk...
Hiyo order unaweza iweka hapa? Unajuaje kama walioondoa kamera si watu wake TunduSio,kama aliombewa ilitolewa oda auwawe na kamera ziondolewe
Wana taabu sanaDada mama D haya Ma-Chadema hayana hata maana...yamepewa chambo na kujinasjsha kwenye ulimbo...dab