Umeona shangazi alivyomuita?Kassimu au katelephoni yupoyupo tu kama lopolopo
Mungu amtunze sanaKabisa yeye anafanya mambo kwa staili ya aina yake, siyo kama wale
Acha ujinga, nani kasema anajua Taasisi ya Uraisi. Unajifanya mjuaji halafu hujui Rais wako kama mzima wa afya au mgonjwa. Ffuucck off!Hujui chochote kuhusu taasisi ya uraisi
Mbona makasiriko mkuu mimi sio Mungu mgawa pumziAcha ujinga,nani kasema anajua taasisi ya uraisi,unajifanya mjuaji halafu hujui rais wako kama mzima wa afya au mgonjwa. Ffuucck off!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu lengo ni Tanzania bora kwa wote hizi hizi alisema kuwa hakatai kucritisisiwa ila alisema kwa tufanye kwa staha yuko sawaUsikimbie vita
Mama DJina gani
Unahitaji mkaa?Mama D
Toka siku alipoponea kupigiwa shangazi zake nilishamuona hana madharaKassimu au katelephoni yupoyupo tu kama lopolopo
Kuna siku alikuwa anatembelea kitengo cha kushona nguo hapo IkuluHuko nyuma rais hata akipiga simu au akisalimiana na mtu utaona tarifa kwa umma. Vyombo vya habari lasima vionyshe hababari kuhumsu Magu kila siku.sasa iweje leo kimya?
Iko Siku taifa star ilishinda kumbe alikuwa anacheki mechi, akatoka hadharani kufurahia ushindi na watanzania ndio nikaona mezani alikuwa anakula ugali na sato.Kuna siku alikuwa anatembelea kitengo cha kushona nguo hapo Ikulu
Wapambe wake wangekuwa na akili wangemuambia asimkufuru Mungu pale Kanisani. Halafu ubaya wake yuko kitandani, badala ya wapambe na waimba sifa wake kumuombea toba wanaendelea kuvurumusha watusi kwa Viongozi wa dini. Hizi laana nyingine ni za kujilazimisha.Iko Siku taifa star ilishinda kumbe alikuwa anacheki mechi,akatoka hadharani kufuraia ushindi na watanzania ndo nkaona mezani alikuwa anakula ugali na sato.
KamfufueWhich time are you talking about, even!??? Leteni evidences za Nairobi & India pls
Nenda twita humu wametaka na kwenda twitaSafi sana kwa taarifa nzuri. Kuna watu watakimbia humu
Mbona umekua mpole ghaflaKifo unachomuombea mwenzio chaweza kukurudia mwenyewe
Maendeleo hayana vyama
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Rais wetu John Pombe Joseph Magufuli [emoji173][emoji1241][emoji106][emoji111][emoji120]
Kwani nilikua mkali wapi isivyo ghafla🙄🙄🙄Mbona umekua mpole ghafla
Mtu anayezusha kifo cha mtu na anayeua mtu yupi anayestahili kuchukuliwa hatua? Hata mimi sifurahii wala kuunga mkono hizi rumour lakini nataka tu kukumbusha kuwa usipande bangi utegemee mchicha. Na mbaya zaidi hii serikali ina kiburi cha kufa mtu. Hawaongozi kwa kutumia katiba.Kiukweli, kama Watanzania wenzetu wanaweza kufanya haya alafu wasichukuliwe hatua basi linchi limeoza! Huku ni kuvuka mstari! Aibu! Aibu! Aibu! Kushabikia haya!
Hivi wewe unaelewa mjadala unahusu nini? Rais kupotea kwa wiki mbili ni jambo la kawaida? Tumia common sense hata kama ni ushabiki. Kitendo cha rais kutoonekana kwa wiki mbili hata kama ni mzima na anafanya kazi kinaonyesha utawala huu ulivyojaa watu wa hovyoMfano kesho akijitokeza alafu baada ya wiki Pierelikwidi akazusha tena ajitokeze tu?? Let's be fair!
Nimesoma vyombo vyote vya kimataifa vilivyoripoti hii habari wame quote taarifa ya Lissu au opposition in general!