Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kabisa... Unawakumbuka waliosema Lowassa mgonjwa wengi wao hawapo duniani... sijui waliko... nisiulizwe please, kama ni Mars, Jupita etc sijuiKifo unachomuombea mwenzio chaweza kukurudia mwenyewe
Maendeleo hayana vyama
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu John Pombe [emoji173][emoji1241][emoji106][emoji111][emoji120]
Kama Rais ni mzima, kwa nini inakuwa mgogoro mkubwa sana kwa watu wa serikali kumuonesha huyu hapa Magufuli mzima wamalize uvumi kwamba ni mgonjwa?Binafsi, ANAYESEMA RAIS anaumwa na ANAYESEMA RAIS ni mzima, Kwa kipindi hiking nankipindi chochote, KAMA HATUMWONI HADHARANI, HAWANA TOFAUTI... WOTE WANAZUSHA TU...
Hivi wanawake wakiachika na kuolewa na vibabu vya kizungu, kwanini huwa wana kasumba ya kuiponda Tanzania?Sky Eclat naiona presha yako inavyopanda na kushuka. Pole sana kwa kumwombea Rais wetu mabaya, sawa!??? Tumekusamehe bure!!!
Hivi wanawake wakiachika na kuolewa na vibabu vya kizungu, kwanini huwa wana kasumba ya kuiponda Tanzania?
Sidhani, alivyo na roho ngumu yule!Huyo safari hii asipoondoka
LAZIMA ATAJIREKEBESHA.
Kama kaweza kuongea na waziri mkuu na kakanusha huo uvumi anashindwaje kukanusha hadharani
UyoSky Eclat naiona presha yako inavyopanda na kushuka. Pole sana kwa kumwombea Rais wetu mabaya, sawa!??? Tumekusamehe bure!!!