HahahaWatu wanachosubiri kusikia hakipo kwa wema. Lait presida kesho akatokea hadharani basi wanaouliza hawatafarijika kama ikipigwa parapanda.
So kinachoendelea ni kejeli na unafiki. Huku moyoni watu wakitamani asirudi Jumla.
Alisikika muuza Kibua akisema.
Mjomba wangu ni afisa kipenyo mwandamizi kuna jambo zito kaniambia.
Waziri mkuu kama anabisha amwambie Magufuli anyooshe kidole juu ama afanye kama anajikuna halafu apigwe picha.
Ila kwa uhalisia kama Rais angekuwa katika hali kama hiyo inayosemwa ni dhahiri kungekuwa na taharuki na isingewezekana kamwe kwa waziri Mkuu kuendelea na ziara kama hizo.
I BET THE PRESIDENT IS FULLY FIT AND FINE
OkaySafi sana kwa taarifa nzuri. Kuna watu watakimbia humu
Ikunguru ijiru chuku ledimie kudhomanya mlingaNilipi funzo hapo
Waziri mkuu hawezi kufanya chochote bila makamu wa rais kuwafahamu kinachojiri maana wana walinzi wa usalama ambao wote huripoti kwa kwa mkurugenzi kisha rais anapata briefing/debriefing hivyo usimhusishe kwa hisia zisizo na na ushahidi na kwanini usiwalenge viongozi wa chama chake ama walio madarakani au kustaafu ndio wenye mwanya zaidi kutekeleza hicho unachokitengezea dhania potofu.Katika mataifa yenye kuzingatia utawala wa bora, Waziri Mkuu & Co walipaswa kuwa kwenye suspected list ya assassination ya JPM.
RAIS ni mali ya umma, haki ya kufahamu wapi alipo, afya yake siyo suala la kudanganya umma. Kwa nini walidanganya wakati wakifahamu kuwa anaumwa /kafariki? Je watu wakisema walimtoa roho, wakajipanga namna ya kuutangazia umma!
Hapana hapana hapanaaaa,kwa sababu tunaweka kumbukumbu sawaHii post ifutwe
😁😁😁😁😁Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"
Leo asubuhi wakati nakuja huku nimeongea naye kwa simu na ameniagiza niwaambie wana Njombe kuwa anawapenda sana na anawashukuru sana kwa kura nyingi mlizompigia
Kuna wenzetu hawaishi hapa nchini, wao kazi yao ni kutuombea mabaya tu, kupandikiza chuki tu. Sasa unamuombea mwenzako kufa hiyo ni akili kweli? Nawatoa hofu watanzania, Rais wenu yuko imara anafanya kazi zake kama kawaida za ofisini.
Tuhakikishe tunamuabudu Mungu, tunamuomba Mungu katika kila jambo, tunamtegemea Mungu katika kila jambo, hata asubuhi nilivyokuwa natoka Dodoma nimempigia kumjulisha ratiba yangu, hata juzi alikuwa anajua ninakuja akanituma, wasalimie wana Njombe na nilitoa Salamu.
Naomba nirudie, kwa salam alizotupa leo kweli wana Njombe, mheshimiwa Rais anawasalimia sana wana Njombe, mheshimiwa Rais anawashukuru wana Njombe.
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"

mwe bhagoshaIkunguru ijiru chuku ledimie kudhomanya mlinga
Sawa nduguHapana hapana hapanaaaa,kwa sababu tunaweka kumbukumbu sawa
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"
Leo asubuhi wakati nakuja huku nimeongea naye kwa simu na ameniagiza niwaambie wana Njombe kuwa anawapenda sana na anawashukuru sana kwa kura nyingi mlizompigia
Kuna wenzetu hawaishi hapa nchini, wao kazi yao ni kutuombea mabaya tu, kupandikiza chuki tu. Sasa unamuombea mwenzako kufa hiyo ni akili kweli? Nawatoa hofu watanzania, Rais wenu yuko imara anafanya kazi zake kama kawaida za ofisini.
Tuhakikishe tunamuabudu Mungu, tunamuomba Mungu katika kila jambo, tunamtegemea Mungu katika kila jambo, hata asubuhi nilivyokuwa natoka Dodoma nimempigia kumjulisha ratiba yangu, hata juzi alikuwa anajua ninakuja akanituma, wasalimie wana Njombe na nilitoa Salamu.
Naomba nirudie, kwa salam alizotupa leo kweli wana Njombe, mheshimiwa Rais anawasalimia sana wana Njombe, mheshimiwa Rais anawashukuru wana Njombe.
kama unaakili vizuri hebu tueleze ni nchi gani kiongozi wao akiwa madarakani alishawahi kufariki dakika mbili wakatangaza? juwa yule ni kiongozi wa nchi siyo kiongozi wa kundi la wavuta bange anaongoza watu wa aina tofauti tofauti we huoni ilivyotangazwa chadema wakaanza kufanya sherehe? ila sasa hivi wanalia kuliko hata angekuwepoHivi nchi hii kuna kiongozi muongo zaidi ya Ndugu Kasimu ?