Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Maombi yako hayakufika!
Mungu mwepushe na Hilo janga wanalomwombea wabaya wa nchi ili akamilishe mazuri aliyoanza ili Tanzania iwe Kama Amsterdam, Tundu akimbilie uhamishoni huku Tanzania palipokuwa nchi yake ya awali
 
Hii video iliua ndoto za Urais wa Majaliwa kimasikhara🤣
 
Uongo ni ugonjwa mbaya sana
 
Huu
sijawahi kuuchoka huu uzi. Nikiwa out of mood huwa napita kuusoma tena😂😂
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Hata mimi nawashangaa kwa kweli... Wanataka atoke aende wapi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Basi tu, kwa uongo huu Majaliwa alitakiwa asiwe Waziri Mkuu. Maana wengi waliiamini hii kauli yake. Na bado bila aibu akadanganya kuwa Msiba wa Magufuli ulifuatiliwa na watu bilioni tatu live. Tangu hapo simuamini Majaliwa hata akiongea ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…