Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Watu mnakuwaga na ubashiri kama wanajimu!Wakati sisi tunamuulizia CCM pengine wana fanya yao huko kwenye account..
[emoji1787][emoji1787]Hata kwa mjinga kiasi gani hii hakubali
KabisaNapendekeza ikifika kila tarehe 12 March tuadhimishe siku ya uongo nchini, huyu mshenzi alituongopea sana.
Chazachaza bwana!kweli JPM,ni zaidi ya master.naona BAVICHA wanavyokimbia [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125].kejeli kwisha,matusi kwisha.
Watu pigeni kazi.jpm yuko fiti.
Dah wewe ulitisha. BWANA AsifiweMimi naomba tunachokiombea wengi kitokee,ili Mungu aabudiwe na sio kudhihakiwa.. hivo hivo na iwe.
This is way way above your IQ fathom, huwezi kuelezwa sawa na sikio la kufa haliskii dawa. Wewe hujasikia hata maofisini ikija habari ya msiba watu wanajizuia kuwastua watoto wa marehemu? Wao hapo walipo walikuwa wanasubiri tangazi rasmi waanze disco, dunia ikawasuta.[emoji23]
Kiswaswadu mwongo sana mbaya zaidi anasema uongo akiwa msikitiniMiaka miwili kamili tangu tudanganywe uongo mkubwa na diblo dibala
Si unaona anavyopaka kiwi nyeusi kichwani kuficha mvi ili aonekane kijanaIla yule faza mwongo jamani!
Aibu uliipataSafi sana kwa taarifa nzuri. Kuna watu watakimbia humu
Duuh!!!!Mjomba wangu ni afisa kipenyo mwandamizi kuna jambo zito kaniambia.
Waziri mkuu kama anabisha amwambie Magufuli anyooshe kidole juu ama afanye kama anajikuna halafu apigwe picha.
Mfichaficha maradhi.....Kifo unachomuombea mwenzio chaweza kukurudia mwenyewe
Maendeleo hayana vyama
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Rais wetu John Pombe Joseph Magufuli [emoji173][emoji1241][emoji106][emoji111][emoji120]
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"
Leo asubuhi wakati nakuja huku nimeongea naye kwa simu na ameniagiza niwaambie wana Njombe kuwa anawapenda sana na anawashukuru sana kwa kura nyingi mlizompigia
Kuna wenzetu hawaishi hapa nchini, wao kazi yao ni kutuombea mabaya tu, kupandikiza chuki tu. Sasa unamuombea mwenzako kufa hiyo ni akili kweli? Nawatoa hofu watanzania, Rais wenu yuko imara anafanya kazi zake kama kawaida za ofisini.
Tuhakikishe tunamuabudu Mungu, tunamuomba Mungu katika kila jambo, tunamtegemea Mungu katika kila jambo, hata asubuhi nilivyokuwa natoka Dodoma nimempigia kumjulisha ratiba yangu, hata juzi alikuwa anajua ninakuja akanituma, wasalimie wana Njombe na nilitoa Salamu.
Naomba nirudie, kwa salam alizotupa leo kweli wana Njombe, mheshimiwa Rais anawasalimia sana wana Njombe, mheshimiwa Rais anawashukuru wana Njombe.