PreGE2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Tuilinde amani ya nchi yetu kabla, wakati na baada ya Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wananchi kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani huku akiwahakikishia kuwa serikali itatekeleza wajibu wake ipasavyo

"nitoe rai kwa kila mmoja wetu kuhakikisha kila mmoja analinda na kuitunza tunu ya amani na utulivu wa nchi kabla wakati na baada ya uchaguzi”

Akizungumza bungeni leo juni 26 Majaliwa amesema serikali imejiandaa vyema na itahakikisha inasimamia uchaguzi ili kuwawezesha wale weye sifa waweze kuchaguliwa na hata kushiriki kuchagua wale wanaowataka

"serikali itahakikisha inatekeleza wajibu wake wa kuhakikisha inatekeleza wajibu wake wa kusimamia katiba ili kila mwananchi mwenye sifa ya kuchagua au kuchaguliwa aweze kutekeleza haki yake ya kikatiba nila vikwazo vya aina yoyote”

MH wAZIRI MKUU, HAKUNA AMANI, NI KUWA WATU NI WAFU TU, SIKU WAKIFUFUKA UTAKUWA USHAHIDI WA HILI NINALILOANDIKA.
kUTAKUWAJE NA aMANI KAMA HAKUNA HAKI?

angalia list ya watu waliopotea katika utawala wako
 
Attachments

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wananchi kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani huku akiwahakikishia kuwa serikali itatekeleza wajibu wake ipasavyo

"nitoe rai kwa kila mmoja wetu kuhakikisha kila mmoja analinda na kuitunza tunu ya amani na utulivu wa nchi kabla wakati na baada ya uchaguzi”

Akizungumza bungeni leo juni 26 Majaliwa amesema serikali imejiandaa vyema na itahakikisha inasimamia uchaguzi ili kuwawezesha wale weye sifa waweze kuchaguliwa na hata kushiriki kuchagua wale wanaowataka

"serikali itahakikisha inatekeleza wajibu wake wa kuhakikisha inatekeleza wajibu wake wa kusimamia katiba ili kila mwananchi mwenye sifa ya kuchagua au kuchaguliwa aweze kutekeleza haki yake ya kikatiba nila vikwazo vya aina yoyote”

Huyu Jamaa ni pimbi. Amani ni tunda la haki.
Tutende haki amani itaparikana automatically
 
Back
Top Bottom