Waziri Mkuu: Kitendo cha Namungo FC kuzuiliwa uwanja wa Ndege ni siasa za soka

Waziri Mkuu: Kitendo cha Namungo FC kuzuiliwa uwanja wa Ndege ni siasa za soka

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema Kitendo cha wachezaji wa Namungo FC na benchi la ufundi na timu mzima kuzuiliwa kwenye uwanja wa Ndege wa Luanda nchini Angola ni siasa za Soka.

Akizungumza leo bungemi jijini Dodoma, Majaliwa amesema, Wizara ya Mambo ya Nje inafuatilia kwa karibu suala hilo kuona namna nzuri ya timu hiyo kucheza mchezo wake wa kombe la shirikisho hapo kesho.
 
Wenzetu wako serious sana na gonjwa hili.
 
Hamna cha siasa wala nini, asidanganye wabongo, na lakini wajinga wengi bongo wataamini utopolo huu unaosema.

Wakati ukweli ni kwamba hali ya sasa kama unataka kwenda nchi ambazo zinatambua kuwa dunia inakabiliwa na janga la korona.

Hawawezi kukubali uende kwao kihasahara na kama unaenda chooni na na mat0keo ya covid yakubumba.
 
Na hao Namungo walipize kisasi kwenye mechi ya marudio kwa kujifunza mbinu kwa wale kaka zao mbumbumbu.

Waingie na PAKA uwanjani au wapulizie vyumba vya wapinzani wao dawa za kuwapunguza nguvu uwanjani. Hakuna namna.
 
Kama ni rahisi mbona wewe Kidimbwi hufanyi ukashiriki kimataifa?

Wewe timu huna, endelea kusikilizia kesi za Fifa zinazokukabili
 
Kama ni rahisi mbona wewe Kidimbwi hufanyi ukashiriki kimataifa?

Wewe timu huna, endelea kusikilizia kesi za Fifa zinazokukabili
Nauliza tu lakini; Kwani mwaka huu Bingwa wa VPL ni nani/atakua nani? Ni Yanga bila shaka. Umesahau Wa Kimataifa ni akina nani?

Wanarudi tena msimu huu kwa kishindo! Just wait and see! Yanga Mbele Daima, Nyuma Mwiko.
 
Watanzania kweli mabwege! Sasa kama wamekutwa na Corona mnataka wenzenu wafanyeje, wawachie waende kueneza siyo?
Imeshasemwa kuwa majibu ya vipimo yanayotolewa sasa hivi hapa kwetu ni feki, serikali imefanya kitega uchumi tu (kipimo $100)!

Sisi tulishautangazia ulimwengu kuwa hatuna Corona, na vifaa vya kupimia vinatolewa na WHO; kwa vile tumetangaza hatuna ugonjwa, hatupewi hivi vifaa! Shame on the leadership of this country!
 
Nauliza tu lakini; Kwani mwaka huu Bingwa wa VPL ni nani/atakua nani? Ni Yanga bila shaka. Umesahau Wa Kimataifa ni akina nani?

Wanarudi tena msimu huu kwa kishindo! Just wait and see! Yanga Mbele Daima, Nyuma Mwiko.
Alisikika mwehu mmoja akisema hivyo, labda mpate ubingwa wa corona, majungu na mipasho
 
Travel to Angola​

On 15 January 2021, revised measures were introduced by Angolan authorities for all passengers accepted for travel to Angola.

There are restrictions for specific categories of passengers travelling to Angola. Please check the latest requirements before you travel. If you are travelling to Angola, you are required to take a COVID‑19 RT‑PCR test and complete a Travel Registration Form, which are both required to be carried out in the 72 hours prior to departure.

Please note:

All passengers will be accepted for travel to Angola provided they meet entry requirements as per Angolan authorities.

Due to additional testing procedures on arrival, passengers are advised that arrivals formalities will be longer in duration than normal. Your patience will be appreciated.

COVID‑19 testing requirements

As per Angolan government requirements, all passengers, travelling to or from Angola must be tested, including children and infants.

In order to board international flights to and from Angola, it is mandatory to present a molecular based RT‑PCR COVID‑19 test with a negative result. Testing must be carried out in the 72 hours prior to departure.

All passengers will also be tested (Rapid Test for COVID) on arrival at 04 Fevereiro International Airport in Luanda. This test is compulsory and will be provided free of charge by Angolan Health Authorities.

  • Passengers with a negative test results may proceed to a mandatory 10‑day home quarantine, after which they must take the test again. Following a second negative test result, they will then receive authorisation from the health authorities to resume normal activities.
  • Passengers who test positive for COVID‑19 will immediately be isolated in institutional quarantine at an appointed facility designated by Angolan health authorities.
Jamani sheria zao ziko wazi ukifika unafanya rapid test hata ukiwa na negative, tatizo la rapid test sio 100% accurate inaonesha hata kama ulikuwa na corona ndio unapona inaonesha ndio maana hakitumiki sana hichi kipimo maana kina trace antibodies
 
Watanzania kweli mabwege! Sasa kama wamekutwa na Corona mnataka wenzenu wafanyeje, wawachie waende kueneza siyo?
Imeshasemwa kuwa majibu ya vipimo yanayotolewa sasa hivi hapa kwetu ni feki, serikali imefanya kitega uchumi tu (kipimo $100)! Sisi tulishautangazia ulimwengu kuwa hatuna Corona, na vifaa vya kupimia vinatolewa na WHO; kwa vile tumetangaza hatuna ugonjwa, hatupewi hivi vifaa! Shame on the leadership of this country!
Bwege Mwenyewe!

Unajua taratibu ambazo zamefuatwa kutaka kuwapima wachezaji wa Namungo? Hivi katika hali ya kawaida kuna ambaye anaweza kukataa kupimwa au kukataa majibu baada ya vipimo?

Mbona Simba kule Nigeria waliambiwa hivyo, ikabidi Simba kwenda kutafuta madaktari wa Hospital ya Taifa ya Nigeria ndo wakapimwa ikaonekana hakuna na game ikapigwa na Plateau
 
Back
Top Bottom