Wenzenu wako serious na corona nyie mnawaekitia? Unadhani uongo mnaowadanganya Watanzania kwamba Corona ilikimbia unaaminika na kila nchi?Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema Kitendo cha wachezaji wa Namungo FC na benchi la ufundi na timu mzima kuzuiliwa kwenye uwanja wa Ndege wa Luanda nchini Angola ni siasa za Soka.
Akizungumza leo bungemi jijini Dodoma, Majaliwa amesema, Wizara ya Mambo ya Nje inafuatilia kwa karibu suala hilo kuona namna nzuri ya timu hiyo kucheza mchezo wake wa kombe la shirikisho hapo kesho.
Wakimataifa kwa kipi ambacho mshawahi kufanya kwenye mashindano ya kimataifa ?Nauliza tu lakini; Kwani mwaka huu Bingwa wa VPL ni nani/atakua nani? Ni Yanga bila shaka. Umesahau Wa Kimataifa ni akina nani?
Wanarudi tena msimu huu kwa kishindo! Just wait and see! Yanga Mbele Daima, Nyuma Mwiko.
Acha Ujinga issue ya Korona Nchi za wenzetu wako makini nalo sana...Wapuuzi kweli yani, CAF inatakiwa iingilie kati maswala kama haya
Walifanyiwa Gabon, Sasa hivi namungo
Sheria inasema aliyekutwa positive kwa korona ndiye anayeingia karantini, siyo msafara mzima!! Basi wasafiri wote kwenye ndege wangezuiliwa kwa kuhofia wameambukizwa wakiwa kwenye ndege!Travel to Angola
On 15 January 2021, revised measures were introduced by Angolan authorities for all passengers accepted for travel to Angola.
There are restrictions for specific categories of passengers travelling to Angola. Please check the latest requirements before you travel. If you are travelling to Angola, you are required to take a COVID‑19 RT‑PCR test and complete a Travel Registration Form, which are both required to be carried out in the 72 hours prior to departure....
Plateu & Platinum walipimwa na Kuna waliokutwa na CoronaTanzania ni nchi pekee ukiingia hautakiwi kuonesha corona certificate unapimwa temp tu ingia nchi zingine lazima uwe na negative test na nchi zingine hata ukiwa na negative lazima ukae quarantine siku 7 kila nchi na sheria zake. Hata juzi mechi ya Liver na Lepzig imepelekwa nchi ya Hungary sababu sheria za corona Germany na UK, Germany ukiingia siku 7 quarantine na UK pia.
Mechi imeshafutwa na CAF na haitachezwa tena kesho.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema Kitendo cha wachezaji wa Namungo FC na benchi la ufundi na timu mzima kuzuiliwa kwenye uwanja wa Ndege wa Luanda nchini Angola ni siasa za Soka.
Akizungumza leo bungemi jijini Dodoma, Majaliwa amesema, Wizara ya Mambo ya Nje inafuatilia kwa karibu suala hilo kuona namna nzuri ya timu hiyo kucheza mchezo wake wa kombe la shirikisho hapo kesho.
Pia nchi ambazo hazichukui tahadhari ya corona timu zao ziondolewe kwenye mashindanoNadhani sasa ni wakati mwafaka kwa masuala haya CAF kushughulika nayo kuliko kuwachia mamlaka za nchi kupima Covid 19.
Jambo hili itasadia sana kuondoa hii sitofahamu.
Unamaanisha Simba SC iondolewe kwa vile TANZANIA haichukui tahadhari na Covid 19..?!Pia nchi ambazo hazichukui tahadhari ya corona timu zao ziondolewe kwenye mashindano
au CAF iwe ndio mratibu wa afya za wachezaji kwenye corona , kwenye kumpiga vita MO hapa umeboronga , MO siyo Simba na iko siku ataondoka lakini Simba itabakiUnamaanisha Simba SC iondolewe kwa vile TANZANIA haichukui tahadhari na Covid 19..?!
Hizo gharama wanazotumia Simba ziende bure..! Unacheza sana mkuu kwa hili, ndo maana unampiga vita sana MO
Hakuna kitu kama hicho, hapa bamba to bamba mpaka mwisho wa show..!
Kulitaka Mwana... NguvuMoja
Yes ataondoka na Simba itabaki lakini si kubeza anachofanyaau CAF iwe ndio mratibu wa afya za wachezaji kwenye corona , kwenye kumpiga vita MO hapa umeboronga , MO siyo Simba na iko siku ataondoka lakini Simba itabaki
Na timu imeondolewa sasa na siasa zao za kishamba. Yaani walidhani kila nchi inamwogopa Magufuli kama wao.
Wewe unaona kuna ishu ya corona hapo? Figisu hizo mzee. Hata kama ni Corona why utaratibu usifuatwe?Acha Ujinga issue ya Korona Nchi za wenzetu wako makini nalo sana...
Hili la MO tuliache kwa leo , bali naamini hujui kitu kuhusu gharama za uendeshaji wa Simba na siku ukijua utaanza kusoma tena nyuzi zanguYes ataondoka na Simba itabaki lakini si kubeza anachofanya
We ndo umeboronga kuna mada zako unasema wapi MO alifanikwa hizi ni kauli ambazo hazina tija zakutaka kurudi tulipotoka ambazo zimezaa miaka 80 timu hakuna hata uwanja wa mazoezi.
Kuhusiana CAF nimesema mwanzo hapo kuwa walisimamie kuliko kuwachia mamlaka za nchi..!
Uliendesha wapi wewe Ashanti Utd mpaka ukajua uendeshaji, yaani watu kibao wasijue ujue wewe hapa Jf? halafu nani amepoteze muda kwa kusoma ukuda, Dah aisee watu mnaoongea nyuma ya Keyboard mnashida sana ha ha haHili la MO tuliache kwa leo , bali naamini hujui kitu kuhusu gharama za uendeshaji wa Simba na siku ukijua utaanza kusoma tena nyuzi zangu