Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 909
- 4,050
Yes. Hilo ni bonge la boko ametoa PM.
Boko la 2 ni kukataa kubeba accountability ya kilichotokea na kinachoenda kutokea D9.
Kosa la 3 ni kuendelea kutumia mbinu ya cheap propaganda kuzuia tatizo lilelile lililotokea MO29.
Sisi wananchi inatuhusu nini kushawishiwa (hata kama ingekuwa kweli, maana siyo kweli), ninyi mmeshindwa kutushawishi ndiyo maana raia wakaamua kuchukua mrengo wanaoona unawafaa.
Mfano sisi kama wananchi wa kawaida utatuambia nini na tukuelewe kwa aina hii hapa chini ya cabinet?
Sisi wananchi wa kawaida utatuambia nini kuhusu nyie kugawiana mapande ninyi kwa ninyi huko juu?
Endeleeni kujizima data kisha muone kama sisi raia wa kawaida huku chini tutawaelewa.
NB: Siku hizi vita havipiganwi kwa kutumia bunduki. Maadui wanachotafuta ni weakness yako iko wapi, kisha wanajipigia palepalee.