Waziri Mkuu kuna Ufisadi wa Kutisha AUWSA, tuma kamati

Hapo kuna shida
 
Taratibu za Uchunguzi inatakiwa wakati uchunguzi unafanyika mtuumiwa akae pembeni ili asiingilie/asivuruge ushaidi , Bodi ya AUWSA iliunda kamati ya Uchunguzi huku mtuumiwa akiendelea na Majukumu yake hii aijawai tokea Duniani mtuumiwa anayechunguzwa kuendelea na Shuguli zake wakati wa Uchunguzi Dr Masika ni msomi aiwezekani asijue huu utaratibu

Bodi ilifanya makusudi ili kulinda Ufisadi wa Eng Rujomba aingii akilini Bodi iloyosheeni wasomi aijui mtuumiwa alipaswa kukaa pembeni

Waziri Mkuu aunde kamati ya uchunguzi Eng Rujomba akakae pembeni ufisadi mwingi sana utaibuliwa na pesa za Serikali zitaokolewa.
 
 

Attachments

  • 62BA18C7-FA9A-4693-AE13-30E3F2214676.jpeg
    60.7 KB · Views: 18
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…