Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Yeye mwenyewe haelewi kiwango Cha mpira nchini anafikiri labda Kuna kupita bila kupingwa.Anaongelea Taifa star ya Ghana au Mimi ndiyo sielewi?
Anaongelea Taifa star ya Ghana au Mimi ndiyo sielewi?
Hakuna timu ya kufuzu hapo .
Watz shida yetu ni kwamba hatujiamini na kupenda kubezaYeye mwenyewe haelewi kiwango Cha mpira nchini anafikiri labda Kuna kupita bila kupingwa.
Sawa naona una akili Kama za waziri mkuu. Mtafuzu kombe la dunia bila Shaka.Watz shida yetu ni kwamba hatujiamini na kupenda kubeza
Duuuuuuh!Yeye mwenyewe haelewi kiwango Cha mpira nchini anafikiri labda Kuna kupita bila kupingwa.
Unaanzaje kujiamini, wachezaji wenyewe wako wapi? Nchi inawaza kwenda kombe la dunia lakini ndani ya hiyo nchi kuna klabu imeshindwa kushiriki mashindano ya kimataifa kwa sababu ambazo sio za kimichezo. Sasa wachezaji wazoefu angalau watatoka wapi? Kiufupi ni kwamba tunategemea bahati zaidi kuliko uwezo maana hatua ya knock out tutakapokutanishwa na Algeria au Nigeria, Egypt, Tunisia, Morocco, Ghana,Senegal n.k ni bahati tu inayotegemewa kwamba itatuvusha.Watz shida yetu ni kwamba hatujiamini na kupenda kubeza
Labda Mwijaku apewe dhima ya kuhamasisha. Huyo ndo anaweza.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Watanzania wanatamani kuona timu zao za Taifa za michezo mbalimbali zikifanya vizuri katika mashindano ya Kimataifa.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameyasema hayo leo, Novemba Mosi, 2021 wakati wa kikao na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa , uongozi wa TFF pamoja na wadau wa mpira wa miguu kilichofanyika ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma.
Amesemaa uwezekano wa timu ya Taifa ya soka ya Tanzania (Taifa Stars) kufanya vizuri katika michuano ya kufuzu kombe la Dunia itakayofanyika nchini Qatar 2022 ni mkubwa kutokana na matokeo mazuri ambayo imeyapata katika michezo yake minne ya awali.
Kwa upande wake Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amewataka Watanzania na wadau mbalimbali wa soka nchini kuunganisha nguvu kuisaidia timu ya Taifa Stars ili ifanya vizuri katika mechi zilizobaki za kufuzu kushiriki katika mashindano ya kombe la dunia.
“Itakuwa ni jambo jema sana tukiwa tunasherehekea miaka 60 ya Uhuru, pia tukashereheka kwa mara ya kwanza Tanzania kupitia timu ya Taifa kufuzu kucheza kombe la duani nchini Qatar” Amesema Waziri Bashungwa.
yaaa anaongelea taifa stars ya morocco na ni kama yule jamaa anavyozungumzia uchumi na ubora wa maisha ya watu wake wa nchini kwake ubelgijiAnaongelea Taifa star ya Ghana au Mimi ndiyo sielewi?