Tozo zipi? Kwani wakati zina pitishwa yeye hakuwepo kwenye baraza la mawaziri au bungeni?? Au alikuwa amelala??Waziri mkuu mh Majaliwa ameagiza kufutwa kwa tozo zote zisizo na msingi.
Mh Majaliwa ametoa agizo hilo akiwa mkoani Kagera.
Source: ITV habari
Legacy ya kufanyia kazi za serikali kwenye media. Na watu wanaamini wanaweza kuona na kupima utendaji wa viongozi "kwa macho" kupitia kauli zao za mbwembwe zitolewazo kwenye redio, tv, na magazeti.Waziri mkuu mh Majaliwa ameagiza kufutwa kwa tozo zote zisizo na msingi.
Mh Majaliwa ametoa agizo hilo akiwa mkoani Kagera.
Source: ITV habari
maagizo hewa
Labda tozo za wakulima wahuko kagera wanapopeleka mazao mnadani lakini hizi ambazo ndo zinamfanya apate posho na masurufu ya safari hawezi hata kuzigusuia maana zaweza mfanya hangaya akatishe safari kurejea nchiniWaziri mkuu mh Majaliwa ameagiza kufutwa kwa tozo zote zisizo na msingi.
Mh Majaliwa ametoa agizo hilo akiwa mkoani Kagera.
Source: ITV habari
Ameongea na Mzee Michembe Mwakatozo au anamuagiza nani???Waziri mkuu mh Majaliwa ameagiza kufutwa kwa tozo zote zisizo na msingi.
Mh Majaliwa ametoa agizo hilo akiwa mkoani Kagera.
Source: ITV habari
[emoji115]sikia ili jiziMajaliwa apunguze uonevu kwa wataalam wa fani za uhandisi na usimamizi wa majengo, apunguze kutoa kauli za kudhalilisha watu hadharani bali afanye uchunguzi wa kisayansi, TECHNICAL AUDITTING etc, ili haki itendeke bila kauli zake kuwaelemea wahakiki!
Waziri mkuu mh Majaliwa ameagiza kufutwa kwa tozo zote zisizo na msingi.
Mh Majaliwa ametoa agizo hilo akiwa mkoani Kagera.
Source: ITV habari
Siasa tupu, tozo zisizo na msingi ni zipi? why asiwe specific kuwa Tozo 1...2...3,Waziri mkuu mh Majaliwa ameagiza kufutwa kwa tozo zote zisizo na msingi.
Mh Majaliwa ametoa agizo hilo akiwa mkoani Kagera.
Source: ITV habari
ri mkuu mh Majaliwa ameagiza kufutwa kwa tozo zote zisizo na msingi.
Mh Majaliwa ametoa agizo hilo akiwa mkoani Kagera.
Source: ITV habari