Waziri Mkuu Majaliwa afungua Mkutano Mkuu wa CAF Jijini Arusha, Tanzania

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa leo Agosti 10, 2022 amefungua Mkutano Mkuu wa 44 wa kawaida wa CAF AICC Arusha.

Mkutano huo umehudhuriwa na Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Gianni Infantino na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) Patrick Motsepe.

 
PM angefatilia uchaguzi ili apate cha kuwashauri chama chake. Haya mengine angeamuachia waziri mwenye dhamana
 
Sijui kwanini huyu jamaa hana mvuto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…