Waziri Mkuu Majaliwa akutana na Mbowe jijini Dar es Salaam

Waziri Mkuu Majaliwa akutana na Mbowe jijini Dar es Salaam

Joined
Jun 4, 2022
Posts
68
Reaction score
184
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 13, 2022 amekutana na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar Es Salaam.

IMG-20220713-WA0023.jpg
IMG-20220713-WA0024.jpg
 
Mbowe alijitia ana kiburi Magufuli akamuonyesha jeuri. Mbona kina mbatia, lipumba, hashim rungwe na maalim seif walikutana na Magufuli tena ikulu. Nenda kagoogle uone.
 
Mbowe alijitia ana kiburi Magufuli akamuonyesha jeuri. Mbona kina mbatia, lipumba, hashim rungwe na maalim seif walikutana na Magufuli tena ikulu. Nenda kagoogle uone.
Lini Hashimu Rungwe alikutana na Magufuli Ikulu?

Hivi unamjua Hashimu Rungwe wewe?

Yule Mwamba aliamua kusimama na CHADEMA, Magufuli akamchukia na kutaka kumuangamiza.
 
Kukutana hawa huwa wanakutana sana wakiwa bungeni sema hapa wamekutana kiofisi...
 
Back
Top Bottom