Waziri Mkuu Majaliwa akutana na Mbowe jijini Dar es Salaam

Waziri Mkuu Majaliwa akutana na Mbowe jijini Dar es Salaam

Mbowe anakula Bata na CCM.

Nyumbu kazi kuachama mimeno kumtetea tu, stupid
 
download (36).jpeg

Bidha kutoka Muskat Arabu
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 13, 2022 amekutana na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar Es Salaam.

View attachment 2288941View attachment 2288943

Jamaa wanamuita muongo sana lakini wanachekelea leo kukutana nae. Bongo hakuna chama cha upinzani ni porojo tu.
 
Hivi hiyo asali anayoramba Mbowe hadi nyie misukule yake inawafikia? Au mnaishia kupiga miayo tu
Nyie mazombie ya Magu ndiyo mlizoezwa kula makombo yake ndiyo maana kila siki mnatupigia kelele juu hilo zimwi lenu. Sisi tumeshazoea kuishi kwa kujitegemea lakini nyie mnaoishi kwa kujibebisha kwa viongozi mnapata tabu sana.
 
WAMASAI wamehamishwa Mh Mbowe Ukiwa kimya kabsa.

Kwan maridhiano hayo ni ya kisiasa tu hayahusiani na maisha ya wananchi wa chini maskini?
Mkuu wenye nchi ni ccm na wanaowafukuza ni ccm.

Peleka lawama kwa ccm
 
Mkuu wenye nchi ni ccm na wanaowafukuza ni ccm.

Peleka lawama kwa ccm
Ukimya tafsiri yake ni:
1. Sijui.
2. Nakubaliana nao ktk wayafanyayo.
3. Watajijua wenyewe.
4. Nk.....................
 
mbowe amewahamisha si walichagua mbunge na madiwani wa ccm waambie wawatete
Ukimya tafsiri yake ni:
1. Hayanihusu.

2. Watajijua wenyewe.

3. Najua kinachoendelea.

4. Nakaa kimya nisije vuruga maridhiano na Ahadi nilizopewa.

5. Nk nk.............6,7,8,9............
 
Hivi huwa wanacheka nini? kila mtu akikutana na viongozi wakubwa wa nchi lazima wapige picha wanacheka
Wanafurahi yule nduli muuaji hayupo tena, Maandiko yanasema mtu muovu atawalapo watu huugua.
 
Back
Top Bottom